Zugak17
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 1,171
- 384
Kwa maana ww unahisi kinachofanya ww umuone vizuri ni kitu gani labda??Kivip tecno sio sim kwan mpaka kifaa kinapewa jina LA cm mpaka inaitwa smartphone inamana kimekidhi vigezo sema2 watu wanajikakamua kuonekana wasikuhizi kutumia tecno sio kwamba hujui cm kwamfano tecno j8 shngap na samsung note3 shngap!!! Mi nmepigiwa video call na note3 kiukwer yan sura inametoka mibox tupu ila yy kaniona vizur2