Naomba kuuliza.

daudthefarmer

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,466
2,000
Achana na tecno mkuu jaribu hata Samsung A or J series.

Tecno sio simu za kudumu
Mkuu kwa series yake hiyo ya tecno inaonesha wazi bajeti yake alioitenga ni chini ya 300K kwenye A series ya samsung sidhani kama ataweza labda J anaweza kupata.
 

varangati

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,739
2,000
Tecno sio simu
Kivip tecno sio sim kwan mpaka kifaa kinapewa jina LA cm mpaka inaitwa smartphone inamana kimekidhi vigezo sema2 watu wanajikakamua kuonekana wasikuhizi kutumia tecno sio kwamba hujui cm kwamfano tecno j8 shngap na samsung note3 shngap!!! Mi nmepigiwa video call na note3 kiukwer yan sura inametoka mibox tupu ila yy kaniona vizur2
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom