Naomba kuuliza walioomba UDOM, BAEd(2014)

Meliboy

New Member
Aug 22, 2014
1
0
Kipindi tunatuma maombi kwenye TCU guidebook, BAED ilikuwa na mkopo, lakn uki login kwenye profile yako, utakuta kwenye chart ya possible loan pameandkwa 0,

what is this!?
 
Kipindi tunatuma maombi kwenye TCU guidebook,BAED ilikuwa na mkopo,lakn ukilog in kwenye profile yako,utakuta kwenye chart ya possible loan pameandkwa 0,what is this!!!!!!?

kweli kaka kabisa mwenyewe nimeingia jana nikakuta hvyo nikapanic .lakini nahsi mtandao utakuwa hujatulia tu.na kuhusu mkopo utakuwepo tu coz ni priority hyo
 
Back
Top Bottom