NMDA antagonist
Senior Member
- Mar 25, 2018
- 149
- 106
Dalili za kupigwa hizoHabari Wakuu naomba kuuliza. kuna mchakato mmoja wa ajira nimeufanya ambapo nimepata kuajiriwa na kampuni moja ya wazungu inaitwa CERTAS energy U.K. hapo awali walinitumia interview yao kwa njia ya email nikaifanya then nika faulu kwenye interview, baade tena wakajibu ile interview yangu na kunipa mkataba wa jira wa miaka 2 pamoja na APPOINTMENT LETTER. sasa kwenye mkataba wao wanadai watanilipia flgiht tickets ya ndege ya kutoka hapa daresalaam mpaka London.
Hoja yangu hapa nikwamba bahati mbaya sina VISA ya kusafiria na kukaa hapo london. Sasa wameniambia kuwa niwatumie pesa ya visa kwa kutumia mtandao wa "money gram" au western union kiasi cha shilingi 800GBP sawa na 2.3millions.pesa hiyo niwatumie watu wa immigration huko london sasa je kwa uzoefu wako hapa hakuna dalili za kutapeliwa na kama sio kutapeliwa je gharama za VISA huwa ni shilingi ngapi kwa makadirio..?
Majamaa kwenye mkataba wao wamesema watanipa full accomodation pindi ntakapokuwa huko.
jaribu uone... unapigwa pesa hiv hivHabari Wakuu naomba kuuliza. kuna mchakato mmoja wa ajira nimeufanya ambapo nimepata kuajiriwa na kampuni moja ya wazungu inaitwa CERTAS energy U.K. hapo awali walinitumia interview yao kwa njia ya email nikaifanya then nika faulu kwenye interview, baade tena wakajibu ile interview yangu na kunipa mkataba wa jira wa miaka 2 pamoja na APPOINTMENT LETTER. sasa kwenye mkataba wao wanadai watanilipia flgiht tickets ya ndege ya kutoka hapa daresalaam mpaka London.
Hoja yangu hapa nikwamba bahati mbaya sina VISA ya kusafiria na kukaa hapo london. Sasa wameniambia kuwa niwatumie pesa ya visa kwa kutumia mtandao wa "money gram" au western union kiasi cha shilingi 800GBP sawa na 2.3millions.pesa hiyo niwatumie watu wa immigration huko london sasa je kwa uzoefu wako hapa hakuna dalili za kutapeliwa na kama sio kutapeliwa je gharama za VISA huwa ni shilingi ngapi kwa makadirio..?
Majamaa kwenye mkataba wao wamesema watanipa full accomodation pindi ntakapokuwa huko.
Ndio style zao hizo za kutapeli watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao watakuwa wanaija ...wewe nchi ina total population ya million 180+ unategemea nn .....
Oky nime waelewa ila nataka kujua taratibu za VISA huwa zipoje...?Sasa wewe kama umeweza kufaulu hiyo interview unashindwa vipi kung'amua kama hao ni matapeli
Hivi kweli kwa dunia ya sasa mtu unaweza kumuamini katika mazingira kama hayo
Kweli kuna mdau mmoja mkongwe wa hapa jf aliwahi kusema Wajinga ndio waliwao
Oky nime waelewa ila nataka kujua taratibu za VISA huwa zipoje...?