Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,948
AhsanteUnaonekana wewe ni mtoto na yeye ni mtoto.
Pili unaonekana wewe bado unampenda.
Kukukataa kwa kigezo cha kua wewe ni boss wake haikua sababu, binti hakua amekukubali hivyo akaona asingizie hiyo sababu.
Sasa cha kukushauri, usiendeleze mawasiliano nae ya karibu. Kaa nae mbali.
Mwambie ajali familia yake na mume wake. Wewe kua bize na mambo yako. Tafta mwanamke mwingine uoe.
Ushauli mzuriWewe ni wa akiba...in case akikosa kwa kwenda...!!so anafanya hayo yote ili usipotee kwenye ramani...mambo yakiharibika kule anajua ana msaada....yan wew ni km upatu...kikoba....au kama ushawah kubet wew ni "Both Team Will Score"
Nina miaka 40 anamika 27, wote ni watu wazimaUnaonekana wewe ni mtoto na yeye ni mtoto.
Pili unaonekana wewe bado unampenda.
Kukukataa kwa kigezo cha kua wewe ni boss wake haikua sababu, binti hakua amekukubali hivyo akaona asingizie hiyo sababu.
Sasa cha kukushauri, usiendeleze mawasiliano nae ya karibu. Kaa nae mbali.
Mwambie ajali familia yake na mume wake. Wewe kua bize na mambo yako. Tafta mwanamke mwingine uoe.
yaani nimuache waje watongoze wengine wakati mda wote wakati yuko na mimi nilikuwa namsoma tabia yake nikalizika nayeMabosi hapo ndipo mnapokoseaga, hivi unaanzaje kumtongoza mfanyakazi wako?
Unafaa kuwa mchepuko wakeNaomba kuwauliza kina dada humu ndani, kuna binti mmoja nilitaka kumuoa lakini akanikatalia kwa kigezo hawezi kuolewa na mimi kwa sababu ni bosi wake.
Kiukweli huyu binti nilitafutiwa na mtu kwa ajili ya kuja kunisaidia kuuza duka langu, lakini siku zilivyokuwa zinakwenda kutokana na kuikubali tabia yake nikaanza kupanga kumuoa.
Lakini alinikatalia na kuniambia hawezi kuolewa na mimi kwani ni bosi wake, baadaye akaja kuolewa na mtu mwingine na akaacha kazi. Sasa kinachonifanya kuja kuuliza, muda mwingi amekuwa akiniambia vitu vyake vya siri, anaishia kuniambia, unayejua wewe na mume wangu tu, usimwambie mtu.
Mfano alikuwa anaumwa akanipigia simu ameenda hospital kakutwa mja mzito lakini nisimwambie mtu, najua mimi tu na mme wake, kama wanawake hii inaleta picha gani? Na bado muda mwingi ananipiga mizinga, akija dukani lazima aombe vitu, ingawa huwa nampa kila anachotaka, lakini nimeanza kujistukia labda ananichukulia bwege?
yaani kuna wakati nikikaa mda mrefu bila kumpigia simu anaanza kunilaumu,wakati alinikataa na ana mume wakeUnafaa kuwa mchepuko wake
Sa unasubiri nini kumla?yaani kuna wakati nikikaa mda mrefu bila kumpigia simu anaanza kunilaumu,wakati alinikataa na ana mume wake
Nimempa vitu vingi sana, kabla ya kumtamkia kama ninataka kumuowa maana maisha yake yalikuwa kidogo changamoto,lakini namuona bado anataka niendelee kumsaidia wakati ana mume wakeHakuna urafiki usio na faida, kama yeye anaweza kukuomba...hata wewe unaweza kumuomba...utofauti utakuja kwenye vitu mnavyoombana
Emu peleka msaada wako kwenye watu wa mahitaji. Hapo unapoteza muda na pesa.Nimempa vitu vingi sana, kabla ya kumtamkia kama ninataka kumuowa maana maisha yake yalikuwa kidogo changamoto,lakini namuona bado anataka niendelee kumsaidia wakati ana mume wake