Mkuu Unao uhakika au unaongea tu?? Ni uamuzi wa Busara Kuuliza Kwa lile usilolijua.Hkn uhusiano wowot apo
je ukiwa umesoma private sawa but ada ilkua ya kawaida mno unakuta laki nne tu au na nusu??Mkuu Ni Kwamba Serikali Inaangalia Hayo Uliyoyaeleza Katika Kutoa Mkopo!
Coz Haiwezekani Mtu Kusoma O-Level Kule KAIZIREGE na A-Level Akasoma FEZA Boys/Girls analipa Mamilioni ya Fedha Huku Akikaa Boding School Za Kisasa eti apate Mkopo kama yule aliyesoma kijijini Shule ya Kata.
Mkuu Utaratibu Wa Kutoa Mikopo Kwa Kuangalia Shule Za Private ulizosoma na Hela Uliyokuwa Unalipa unaitwa "MEANS TEST SYSTEM" upo na Uko Hai.View attachment 375055
Hapo Mkuu Katika Means Test System Unaingizwa na Kutopewa Mkopo Asilimia 100% Bali utapewa Kulingana Na Viwango Vtakavyopatikana Katika Hiyo Means Test System hata Kama Kozi Utakayosoma ni Priority Cluster 1.je ukiwa umesoma private sawa but ada ilkua ya kawaida mno unakuta laki nne tu au na nusu??
Vp km course uliyoomba ni non priority kisha ya art lkn vigezo vyote vya umackin unavo umesoma gvnt level zote mzee mmoja kafa na alobak mzee hajiwez tena mkopo wanakupa au kwa vile art unakosa?Hapo Mkuu Katika Means Test System Unaingizwa na Kutopewa Mkopo Asilimia 100% Bali utapewa Kulingana Na Viwango Vtakavyopatikana Katika Hiyo Means Test System hata Kama Kozi Utakayosoma ni Priority Cluster 1.
mmmmmh wewe wasipo kupa mkopo watakuwa wanampango mbaya na wewVp km course uliyoomba ni non priority kisha ya art lkn vigezo vyote vya umackin unavo umesoma gvnt level zote mzee mmoja kafa na alobak mzee hajiwez tena mkopo wanakupa au kwa vile art unakosa?
Hapo Hapana Sababu Ya Kuwa Usipewe Mkopo! Lakini Hii awamu ya Mara hii ni Full Ubabe na dharau Kwa Wasomi Kwahiyo Pia Wanaweza Wasikupe.Vp km course uliyoomba ni non priority kisha ya art lkn vigezo vyote vya umackin unavo umesoma gvnt level zote mzee mmoja kafa na alobak mzee hajiwez tena mkopo wanakupa au kwa vile art unakosa?
I'm really afraid bcs nimepata 3 nikikosa ntaingia kichaa nataka kusoma maisha ya shida ddahHapo Hapana Sababu Ya Kuwa Usipewe Mkopo! Lakini Hii awamu ya Mara hii ni Full Ubabe na dharau Kwa Wasomi Kwahiyo Pia Wanaweza Wasikupe.
Wa2 wanasema kwamba hawaangalii km mackin au tajir km umesoma gvnt or private wala huna mzaz au unae iwe mzee au cmzeemmmmmh wewe wasipo kupa mkopo watakuwa wanampango mbaya na wew
Mkuu Ni Kwamba Serikali Inaangalia Hayo Uliyoyaeleza Katika Kutoa Mkopo!
Coz Haiwezekani Mtu Kusoma O-Level Kule KAIZIREGE na A-Level Akasoma FEZA Boys/Girls analipa Mamilioni ya Fedha Huku Akikaa Boding School Za Kisasa eti apate Mkopo kama yule aliyesoma kijijini Shule ya Kata.
Mkuu Utaratibu Wa Kutoa Mikopo Kwa Kuangalia Shule Za Private ulizosoma na Hela Uliyokuwa Unalipa unaitwa "MEANS TEST SYSTEM" upo na Uko Hai.View attachment 375055
Acha kudanganya wenzako,mkopo unatolewa kwa wale watakao soma course zenye priority na kwa wenye matatizo kama kuwa yatima,kuwa na mzazi mmoja,wazaZi ni walemavu. Soma guide book inaeleza kila kitu.
Be patient! Nothing bad will happen to you, Trust me!I'm really afraid bcs nimepata 3 nikikosa ntaingia kichaa nataka kusoma maisha ya shida ddah
Thanx so muchBe patient! Nothing bad will happen to you, Trust me!