Naomba kuuliza kuhusu majina matatu

Naomba kuuliza kuhusu majina matatu

Tonny Side

Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
12
Reaction score
5
Habari za muda huu wakuu,

Naomba kuuliza kama kuna mtu alishawahi fanikisha maombi ya ualimu kwenye mfumo wa TAMISEMI yaani OTEAS Kwa kutumia majina mawili pekee?

Maana mimi vyeti vyangu vya shule vyote vina majina mawili lakini mfumo unataka majina matatu ingawa kwenye cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha taifa yapo majina yote matatu

Je nikitaka kuweka jina la tatu naruhusiwa au kuna utaratibu mwingine natakiwa kufuata?
 
Haina shida, tumia hayo majina matatu kwa kitambulisho huku ukiweka vyeti vyenye majina mawili
 
Back
Top Bottom