Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba

Somo zuri sana bro. Mimi nina maswali machache.

1. Nikitaka kuanza biashara kwa kununua baro, la nguo, viatu na mabegi, nijipange na bei gani makadirio?

2. Nitaamini vipi kwamba ili baro ni quality? Niliambiwa yana bei tofauti tofauti.

3. Je, nitajuaje kama ilo baro limetoka nje (ulaya) isije kua kuna wahuni wanayafunga hapo hapo karume au Kariakoo wanatupiga sisi wageni ila quality wanauziana wanaojuana tu.

cc Sir Midabwada

Viatu mzunguko wake upo chini ila unapata faida nzuri, tofauti na nguo zinatoka haraka.
 
Habari za muda huu wanajua ii. Gt na professionals wa mambo mbalimbali. Poleni Kwa kadhia, hasa wale wanaosumbuliwa na mapenzi, ajira na siasa. Niseme tu tuendelee kupambana, hamko peke yenu.

Nimeona Kuna uhitaji mkubwa wa watu kufahamu biashara ya mitumba kwani wengi wetu wamekuwa wanaulizia Mara Kwa mara na wengine kutoa baadhi ya wanachokijua kujibu maswali Kwa wasiojua. Nianze kwa kusema kwamba hili la majibu mafupi na uhitaji wa Kujua limenisukuma niandike haya.

Mitumba si biashara rahisi kama tunavyofikiria. Ina utaalamu mchache ambao ni Basic. Utaalamu huu ndio unanisukuma kuandika machache.

Kwanza kabisa, wauza mitumba wapo wa Aina nyingi. Kuna suppliers, ambao wananunua robota 20,10 au 50 Kwa wahindi na kuweka mzigo stoo na kuuza kwa WAFUNGUAJI. Kwa namna hiyo, mnyororo wa Belo unaweza kupita mikono zaid ya mitatu mpaka Belo kumfikia anaefungua Belo kuuza nguo Kwa wavaaji/wuazaji.

Mfunguaji (mfungua Belo) ni mfanya biashara ambae anaweza kuwa na mtaji Kati ya laki 5 (Belo 1/2 kutegemew na uzito au bei Husika) ambae anamiliki kizimba (sokoni n. K) anetegemea Sana kuuza nguo moja moja Kwa wateja wa Aina 3. Napendekeza ukiwa na mpango wa kufungua Belo wateja hawa uwe nao. Hapa nitazungumzia Mtumba grade 1.

1. Mteja wa JUMLA
Ni lazima ukubali kwamba, nguo za mitumba zinaweza kutoka Belo moja lakini ubora ukatofautiana. Kuna nguo unaweza kuuza Kwa elfu 10 (tisheti hii bei ni kubwa mno), Kwa jinzi (ukauza mpaka elf 30). Lakini Belo hilohilo litakupa nguo ambayo hata elfu 1 Mia tano huuzi. Hivyo kadri unavyouza lazima uwe na utambuzi wa bei halisi ya nguo iliyo mkononi. Usikatae kuuza elfu 10 ukaione nzur Sana ukaja kuiuza elfu 7 upate hela ya kula kwanza.Au kinyume chake, ukauza nguo elf 10 kumbe hata elfu 25 ungeuza.

MTEJA WA JUMLA NI YULE ANAEKUJA KWAKO KUNUNUA NGUO ZOTE ZILIZOBAKI MKONONI/KIZIMBANI MWAKO,ILI AKAZIUZE (HAWA MARA NYINGI WANA MWAGA CHINI AIDHA KANDO YA BARABARA AU MINADANI) . Mara nyingi Kwa tisheti wananunua bei ya jumla Kati ya 700 mpaka 1300 inategemea na mapatano.

2. MAWINGA (MAPOINTA)
Hawa pia ni wateja muhimu Sana unapofungua Belo. Ni viungo muhimu Sana kuchagua NGUO KALI kutoka kwenye Belo lako wakauze. Hawa huwa na tabia ya kuchagua Sana, kwenye nguo 300 katika Belo lako ni kawaida kupata nguo 3, 4 au 10 usiawchoke. Wanakuaga na "strong negotiation skills". Wasumbufu. Ila ni muhimu kwani wanasaidia Sana kukutoa kwenye msongo wa kutokuuza, mzigo mbaya au wanakubusti kurudisha mtaji kwani wanaoweza kusababisha ukarudisha nusu ya hela yako mapema mno. Kwa tisheti wengi wapo Nje ya jengo la CHINA PLAZA. Wanakuaga na MAGOLI yao. Kwa tisheti huwa wananunuaga Kati ya elf 5 mpaka 8.

PIA, MAPOINTA, wengine wanaitwaga MAWINGA hawa ni watu ambao hawanunui nguo kwako. Hawa wanaleta mteja kizimbani kwako na kuuza kama za kwao. Ni wazuri pia kuropoka bei. Tisheti ya elf 5 wanaoweza kumropokea mteja kuwa bei ni 12. Ni moja Kati ya watu wanaoharibu biashara za mitumba sokoni zinaonekana ghali. Karume na ilala wamejaa Sana hawa. Ni wa muhimu ila hutakiw kuwaamin, wanaoweza kukudhulumu au kuiba. Lakini pia, ikitokea unawaamini unaweza kuwapa nguo wakauze wakulete hela. Kuwajua pia kunahitajika apa. Wanakuaga na uwezo wa kuuza idadi nyingi ya nguo kuliko mwenye Mali yako. Very potential.

3. WAVAAJI
Hawa ni watu kam mimi na wewe. Ambao wanapita au wanvutiwa Kuja kununua. Hawa wanaoweza kuuziwa na wewe au mawinga. Mara nyingi huwa hatuwajali Sana sabab WANAPITA TU. tunaweza kubambika nguo zilizotoboka wasipoona. Ni biashara, ni rizki. Lakini pia wakijenga uaminifu na kurudi rudi huwa tunawachagulia saizi nzur/dizaini wanazopenda tunawtunzia au kuwapigia simu waje kuziona/ kununua.

Aina nyingine ya wauza mitumba ni hawa MAWINGA /MTUKATI /MAPOINTA. hawa Mara nyingi huwa wanachagua nguo chache NZURI TU. Wanakuaga na teknik za kuchagua nguo nzur Kwa JICHO LA MTEJA. hawa ndio ambao tunawakuta wamebeba nguo mkononi kando kando ya barabara au kukuleta majumbani wengine wanaposti mitandaoni (what's ap status, insta nk). Tabia yao kubwa ni kununua nguo nzur tu (Kam nlivyoeleza). Hawana mitaji mikubwa hawa hata elf 50 inawatoshaga. Pia muda mwingine wanalindwaga na uaminifu tu, wanapewa wakauze walete hela.

Aina ya mwisho ya wauza mitumba ni WAUZA JUMLA. Hawa jamaa huwa na kelele kweli kweli. Kokte wakikaaga hawa lazima kuwepo na kelele za kutangaza biashara yao. Hawa wanatumia hesabu za paukwa pakawa. Mfn. Wananunua tisheti bei ya jumla (nimewaeleza juu hapo Kam wanunuzi wa jumla) Kwa kiasi cha shilingi 800 au 900 Kwa tishet 1 kwa mana tishet 350 *900 (bei) = na Laki 4 mfano. Wanazobeba kwenda kuzimwaga chini na kunadisha elfu tatu 1 (ndani ya siku 2). Mfano umeuza tisheti 80 *3000= na Laki 3 na 20. Siku ya tatu unaanza kunadisha Kwa elfu mbili mbili na kuuza tisheti (260 zilizobaki). Unauza elf mbili-mbili tishet 100 (ndani ya siku 2) Sawa na laki tatu. Siku inayofata unaanza kuuza bukubuku. Tu nategemea kupata faida nyingi Kwa kadri tunavyoshusha bei kila siku Kwa sabb ya kulindwa na yile bei iliyoanza kutumika Mara ya kwanza kabisa. Ukisharudisha mtaji zinazobaki hata Mia tano-tano unauza tu.

NB: HAKUNA UWEZEKANO WA KUUZA TISHETI ZOTE.

HAWA WOTE WANAWEZA KUWA WAUZAJI WA JUMLA KULINGANA NA MASLAHI YAO. SAMAHININI KWA MUANDIKO MBOVU WENYE UHITAJI KARIBUNI HAPAHAPA JUKWAANI KWA KUTAKA UELEWA ZAIDI
Too bad una limit ya viewers, anyway I hope nitapata msaada hapa hapa.
Nahitaji kuanza kufanya biashara ya mashuka niwe nanunua belo pale zinakopatikana kwa bei nzuri na supplier wa uhakika (Grade iendane na bei). shuka nazotafuta ni zile za cotton nzito unakuta ndani ziko either pair 2 na foronya nne na king size, na belo lingine lililonipa changamoto kupata ni la nguo za kulalia za kina dada material ya kuteleza mostly zinakuaga pair (hii nilijaribu kumuuliza mtu mmoja instagram huwa anachukua wapi mzigo wake maana ni mzuri ila nikaishia kula block) nimehangaika sana kutafuta na ni biashara ambayo nataka niikomalie ila nakutana na changamoto mbalimbali.
 
Sawa Sawa kabisa. Kwa mitumba kutoa pea ni rarely case. Kipindi robota linafunguliwa inatokeaga kupata nguo zinafanana. Kwa taulo, MASHUKA ni kawaida sabb ni (nguo) ambaz hazina fasheni nyinginyingi. Mara kadhaa nimeona MASHUKA yanayofanan huwaga ni moja (mattrress cover) linapasuliwa katikati. Ni MASHUKA yanayoveshwa kwenye godoro yana'Editiwa'. Hilo linawezekana. Kwa nguo za kulalia wanawake mkuu siufichi. Ile haina baro maalum. Unanunua tu kama POINTA. huyo jamaa kama Ana 'CODE' hizo ujue hafunguo balo anachagua Kwa anaefungua.
USHAURI : Anza na hili la MASHUKA, nunua balo. Kama una wateja wengi ( mtu wa watu) lifungulie nyumbani kwako. Chagua MASHUKA mazuri yote weka pembeni ( Zingatia material/ Ukubwa / mapambo. Nk) then yahesabu. Kisha, hayohayo yatenge Kwa ukubwa na yachuje mpaka upate super quality-ambayo unaweza uza moja hata elf 50), middle quality yawekwe Kwa bei ya elf 30. Pia low quality kadiria alf 15-20.yale ambayo hukuyatenga (Majority side) yahesabu kisha mpe kijana akayanwage barabarani /minadani mwambie auze moja elf 6 ( yakague) yatenge. Mengine mwambie auze elf 4 ( yahesabu pia). Kaa chini fanya mahesabu yako ikiwa yote yatatoka utapatkias gani. Huyu kijana mpe elf 5 Kwa siku na mnunulie chakula cha mchana mpaka uone uuzaji wake.
Robota zote hizo z inauzwa mnazi mmoja. (Nb) fanya tafiti ya bei ya robota kwanza kabla hujaingia mzigoni
 
Sawa Sawa kabisa. Kwa mitumba kutoa pea ni rarely case. Kipindi robota linafunguliwa inatokeaga kupata nguo zinafanana. Kwa taulo, MASHUKA ni kawaida sabb ni (nguo) ambaz hazina fasheni nyinginyingi. Mara kadhaa nimeona MASHUKA yanayofanan huwaga ni moja (bed cover) linapasuliwa katikati. Ni MASHUKA yanayoveshwa kwenye godoro yana'Editiwa'. Hilo linawezekana. Kwa nguo za kulalia wanawake mkuu siufichi. Ile haina baro maalum. Unanunua tu kama POINTA. huyo jamaa kama Ana 'CODE' hizo ujue hafunguo balo anachagua Kwa anaefungua.
USHAURI : Anza na hili la MASHUKA, nunua balo. Kama una wateja wengi ( mtu wa watu) lifungulie nyumbani kwako. Chagua MASHUKA mazuri yote weka pembeni ( Zingatia material/ Ukubwa / mapambo. Nk) then yahesabu. Kisha, hayohayo yatenge Kwa ukubwa na yachuje mpaka upate super quality-ambayo unaweza uza moja hata elf 50), middle quality yawekwe Kwa bei ya elf 30. Pia low quality kadiria alf 15-20.yale ambayo hukuyatenga (Majority side) yahesabu kisha mpe kijana akayanwage barabarani /minadani mwambie auze moja elf 6 ( yakague) yatenge. Mengine mwambie auze elf 4 ( yahesabu pia). Kaa chini fanya mahesabu yako ikiwa yote yatatoka utapatkias gani. Huyu kijana mpe elf 5 Kwa siku na mnunulie chakula cha mchana mpaka uone uuzaji wake.
Robota zote hizo z inauzwa mnazi mmoja. (Nb) fanya tafiti ya bei ya robota kwanza kabla hujaingia mzigoni
Kwa kufanya hivyo, kuna kundi la wateja wako hapo umelikata (MAWINGA) ambao wangechagua zile shuka za middle /super quality na kukuacha shuka z kawaida.
Kama una basic knowledge y mitumba utakuw umenielw vizur hapo ( ona pg no. 1)
 
Sawa Sawa kabisa. Kwa mitumba kutoa pea ni rarely case. Kipindi robota linafunguliwa inatokeaga kupata nguo zinafanana. Kwa taulo, MASHUKA ni kawaida sabb ni (nguo) ambaz hazina fasheni nyinginyingi. Mara kadhaa nimeona MASHUKA yanayofanan huwaga ni moja (mattrress cover) linapasuliwa katikati. Ni MASHUKA yanayoveshwa kwenye godoro yana'Editiwa'. Hilo linawezekana. Kwa nguo za kulalia wanawake mkuu siufichi. Ile haina baro maalum. Unanunua tu kama POINTA. huyo jamaa kama Ana 'CODE' hizo ujue hafunguo balo anachagua Kwa anaefungua.
USHAURI : Anza na hili la MASHUKA, nunua balo. Kama una wateja wengi ( mtu wa watu) lifungulie nyumbani kwako. Chagua MASHUKA mazuri yote weka pembeni ( Zingatia material/ Ukubwa / mapambo. Nk) then yahesabu. Kisha, hayohayo yatenge Kwa ukubwa na yachuje mpaka upate super quality-ambayo unaweza uza moja hata elf 50), middle quality yawekwe Kwa bei ya elf 30. Pia low quality kadiria alf 15-20.yale ambayo hukuyatenga (Majority side) yahesabu kisha mpe kijana akayanwage barabarani /minadani mwambie auze moja elf 6 ( yakague) yatenge. Mengine mwambie auze elf 4 ( yahesabu pia). Kaa chini fanya mahesabu yako ikiwa yote yatatoka utapatkias gani. Huyu kijana mpe elf 5 Kwa siku na mnunulie chakula cha mchana mpaka uone uuzaji wake.
Robota zote hizo z inauzwa mnazi mmoja. (Nb) fanya tafiti ya bei ya robota kwanza kabla hujaingia mzigoni

Shukrani sana mkuu nitafanyia kazi huu ushauri
 
Habari za muda huu wanajua ii. Gt na professionals wa mambo mbalimbali. Poleni Kwa kadhia, hasa wale wanaosumbuliwa na mapenzi, ajira na siasa. Niseme tu tuendelee kupambana, hamko peke yenu.

Nimeona Kuna uhitaji mkubwa wa watu kufahamu biashara ya mitumba kwani wengi wetu wamekuwa wanaulizia Mara Kwa mara na wengine kutoa baadhi ya wanachokijua kujibu maswali Kwa wasiojua. Nianze kwa kusema kwamba hili la majibu mafupi na uhitaji wa Kujua limenisukuma niandike haya.

Mitumba si biashara rahisi kama tunavyofikiria. Ina utaalamu mchache ambao ni Basic. Utaalamu huu ndio unanisukuma kuandika machache.

Kwanza kabisa, wauza mitumba wapo wa Aina nyingi. Kuna suppliers, ambao wananunua robota 20,10 au 50 Kwa wahindi na kuweka mzigo stoo na kuuza kwa WAFUNGUAJI. Kwa namna hiyo, mnyororo wa Belo unaweza kupita mikono zaid ya mitatu mpaka Belo kumfikia anaefungua Belo kuuza nguo Kwa wavaaji/wuazaji.

Mfunguaji (mfungua Belo) ni mfanya biashara ambae anaweza kuwa na mtaji Kati ya laki 5 (Belo 1/2 kutegemew na uzito au bei Husika) ambae anamiliki kizimba (sokoni n. K) anetegemea Sana kuuza nguo moja moja Kwa wateja wa Aina 3. Napendekeza ukiwa na mpango wa kufungua Belo wateja hawa uwe nao. Hapa nitazungumzia Mtumba grade 1.

1. Mteja wa JUMLA
Ni lazima ukubali kwamba, nguo za mitumba zinaweza kutoka Belo moja lakini ubora ukatofautiana. Kuna nguo unaweza kuuza Kwa elfu 10 (tisheti hii bei ni kubwa mno), Kwa jinzi (ukauza mpaka elf 30). Lakini Belo hilohilo litakupa nguo ambayo hata elfu 1 Mia tano huuzi. Hivyo kadri unavyouza lazima uwe na utambuzi wa bei halisi ya nguo iliyo mkononi. Usikatae kuuza elfu 10 ukaione nzur Sana ukaja kuiuza elfu 7 upate hela ya kula kwanza.Au kinyume chake, ukauza nguo elf 10 kumbe hata elfu 25 ungeuza.

MTEJA WA JUMLA NI YULE ANAEKUJA KWAKO KUNUNUA NGUO ZOTE ZILIZOBAKI MKONONI/KIZIMBANI MWAKO,ILI AKAZIUZE (HAWA MARA NYINGI WANA MWAGA CHINI AIDHA KANDO YA BARABARA AU MINADANI) . Mara nyingi Kwa tisheti wananunua bei ya jumla Kati ya 700 mpaka 1300 inategemea na mapatano.

2. MAWINGA (MAPOINTA)
Hawa pia ni wateja muhimu Sana unapofungua Belo. Ni viungo muhimu Sana kuchagua NGUO KALI kutoka kwenye Belo lako wakauze. Hawa huwa na tabia ya kuchagua Sana, kwenye nguo 300 katika Belo lako ni kawaida kupata nguo 3, 4 au 10 usiawchoke. Wanakuaga na "strong negotiation skills". Wasumbufu. Ila ni muhimu kwani wanasaidia Sana kukutoa kwenye msongo wa kutokuuza, mzigo mbaya au wanakubusti kurudisha mtaji kwani wanaoweza kusababisha ukarudisha nusu ya hela yako mapema mno. Kwa tisheti wengi wapo Nje ya jengo la CHINA PLAZA. Wanakuaga na MAGOLI yao. Kwa tisheti huwa wananunuaga Kati ya elf 5 mpaka 8.

PIA, MAPOINTA, wengine wanaitwaga MAWINGA hawa ni watu ambao hawanunui nguo kwako. Hawa wanaleta mteja kizimbani kwako na kuuza kama za kwao. Ni wazuri pia kuropoka bei. Tisheti ya elf 5 wanaoweza kumropokea mteja kuwa bei ni 12. Ni moja Kati ya watu wanaoharibu biashara za mitumba sokoni zinaonekana ghali. Karume na ilala wamejaa Sana hawa. Ni wa muhimu ila hutakiw kuwaamin, wanaoweza kukudhulumu au kuiba. Lakini pia, ikitokea unawaamini unaweza kuwapa nguo wakauze wakulete hela. Kuwajua pia kunahitajika apa. Wanakuaga na uwezo wa kuuza idadi nyingi ya nguo kuliko mwenye Mali yako. Very potential.

3. WAVAAJI
Hawa ni watu kam mimi na wewe. Ambao wanapita au wanvutiwa Kuja kununua. Hawa wanaoweza kuuziwa na wewe au mawinga. Mara nyingi huwa hatuwajali Sana sabab WANAPITA TU. tunaweza kubambika nguo zilizotoboka wasipoona. Ni biashara, ni rizki. Lakini pia wakijenga uaminifu na kurudi rudi huwa tunawachagulia saizi nzur/dizaini wanazopenda tunawtunzia au kuwapigia simu waje kuziona/ kununua.

Aina nyingine ya wauza mitumba ni hawa MAWINGA /MTUKATI /MAPOINTA. hawa Mara nyingi huwa wanachagua nguo chache NZURI TU. Wanakuaga na teknik za kuchagua nguo nzur Kwa JICHO LA MTEJA. hawa ndio ambao tunawakuta wamebeba nguo mkononi kando kando ya barabara au kukuleta majumbani wengine wanaposti mitandaoni (what's ap status, insta nk). Tabia yao kubwa ni kununua nguo nzur tu (Kam nlivyoeleza). Hawana mitaji mikubwa hawa hata elf 50 inawatoshaga. Pia muda mwingine wanalindwaga na uaminifu tu, wanapewa wakauze walete hela.

Aina ya mwisho ya wauza mitumba ni WAUZA JUMLA. Hawa jamaa huwa na kelele kweli kweli. Kokte wakikaaga hawa lazima kuwepo na kelele za kutangaza biashara yao. Hawa wanatumia hesabu za paukwa pakawa. Mfn. Wananunua tisheti bei ya jumla (nimewaeleza juu hapo Kam wanunuzi wa jumla) Kwa kiasi cha shilingi 800 au 900 Kwa tishet 1 kwa mana tishet 350 *900 (bei) = na Laki 4 mfano. Wanazobeba kwenda kuzimwaga chini na kunadisha elfu tatu 1 (ndani ya siku 2). Mfano umeuza tisheti 80 *3000= na Laki 3 na 20. Siku ya tatu unaanza kunadisha Kwa elfu mbili mbili na kuuza tisheti (260 zilizobaki). Unauza elf mbili-mbili tishet 100 (ndani ya siku 2) Sawa na laki tatu. Siku inayofata unaanza kuuza bukubuku. Tu nategemea kupata faida nyingi Kwa kadri tunavyoshusha bei kila siku Kwa sabb ya kulindwa na yile bei iliyoanza kutumika Mara ya kwanza kabisa. Ukisharudisha mtaji zinazobaki hata Mia tano-tano unauza tu.

NB: HAKUNA UWEZEKANO WA KUUZA TISHETI ZOTE.

HAWA WOTE WANAWEZA KUWA WAUZAJI WA JUMLA KULINGANA NA MASLAHI YAO. SAMAHININI KWA MUANDIKO MBOVU WENYE UHITAJI KARIBUNI HAPAHAPA JUKWAANI KWA KUTAKA UELEWA ZAIDI
nina ilo wazo toka ktambo sana naamini Mungu ataniongoza siku moja wazo litimie
 
Habari za Usiku wakuu,

Naomba Msaada wa Chimbo la wahindi wanaouza Viatu vya Mitumba kwa Jumla yaani kwa Mabello, kule ambapo hata wafanyabiashara wa Karume na Ilala wamekuwa wakitoa mzigo
 
Back
Top Bottom