Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional)

Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional)

GOSSO MZEKEZEKE

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
185
Reaction score
213
Habari JF,

Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional) certified imeanza kuwa ya lazima kwa baadhi ya taasisi za serikali?

Maana kuna tetesi nimesikia kwa taasisi kama TANESCO NA TCRA wanataka watu waliokuwa na PMP hasa wahandisi, mwenye ukweli kuhusu hili anijulishe.
 
Back
Top Bottom