Mtoa mada naoana hili jambo unataka kuliweka kisiasa zaidi,mtaala sio context,na unavyosema mbatia alitaka kumsulubu mtu hayo si kweli,madhara ya kukosa mitaala yameshanza kuonekana katika mashule yetu,kwanzia shule za awali mpaka sekondari,mbatia alichokuwa anakizungumzia ni kitu alichkifanyia utafiti kwa mda mrefu.
Mbatia alizungunzia kitu kizuri ambacho kikifanyiwa kazi kitaleta tija katika taifa hili,sasa wewe unaleta siasa kwenye mambo muhimu.
Na swala lingine ambalo sijasikia watanzania wakilijadili ni ufisadi mkubwa ulio katika mfumo mzima wa elimu,unataka kuniambia ufisadi pia alikosea kuusema?