Please naomba unielezee kidogo kivipi ni nzuriiSi mtaalam wa maswala ya ndoto ila hiyo ndoto ni nzuri sana unatakiwa uiatamie kwa maombi na sala
AmeenMungu akufunie kwa kadiri ya utakavyoelewa kirahisi
Mkuu tafadhali naomba unielezee kidogo ni nzurii kivipiili niweze kuiatamia Kwa maombiSi mtaalam wa maswala ya ndoto ila hiyo ndoto ni nzuri sana unatakiwa uiatamie kwa maombi na sala
Na wewe waweza sema neno mkuuNgoja waje mkuu
Ndoto nzuri hiyo,Mwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze:
Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu.
Kinachonoshangaza ni Kwanini ndoto hii ijurudie Sana, yamkini inaweza kuwa na maana , na pia yasemekana Kila unachoota Huwa kina maana, tafadhali mwenye uelewa naomba anijuze.
Wasiliana na huyu bwana Freedom tommorrowMwenye uelewa na ndoto ifuatayo naomba anijuze:
Nikuwa nikiota kwamba Mimi ni mwalimu na katika ndoto nimekuwa nikisimamia wanafunzi wanafanya mtihani wa hesabu, ndoto hii jimeiita Mara nne mfulilizo , na kiuhalisia Mimi si mwalimu,na Wala sitegemei kuwa mwalimu.
Kinachonoshangaza ni Kwanini ndoto hii ijurudie Sana, yamkini inaweza kuwa na maana , na pia yasemekana Kila unachoota Huwa kina maana, tafadhali mwenye uelewa naomba anijuze.
Hakika mkuu umeifafanua vizuri kabisa.Wewe si Mwalimu lakini unafanya kazi ya ualimu (kwa ndoto)
Unasimamia Hesabu wenyewe huita janga la Taifa sio history wala kiswahili
Ndoto umeota mara nyingi si chini ya mara moja
Twende hv sasa kwa msaada wa roho Mtakatifu:
Mbele yako kuna suala la kuwa msimamizi kwenye kazi nzito kiasi.
Kuna pahala huko uendako utapewa Dhamana au kuaminiwa kusimamia Jambo zito kwenye Jamii lenye sura ya kuwa mtawala ama msimamizi.
Unachotakiwa kufanya ni kuomba ndoto yako iwe kweli kabla haijatupwa mbali na vision killers.
Hapa kuna msaada wako zaidi:
247 Prayers Army - Jeshi la Maombi
Maombi ya saa 24 kwa kila siku kwa kila mwaka yanafanyika kwa watu wa Mungu ili kusudi la Mungu liwe imara ndani yao. Karibu ungana nasi.t.me
Asante Sana mkuu, ubarikiweWewe si Mwalimu lakini unafanya kazi ya ualimu (kwa ndoto)
Unasimamia Hesabu wenyewe huita janga la Taifa sio history wala kiswahili
Ndoto umeota mara nyingi si chini ya mara moja
Twende hv sasa kwa msaada wa roho Mtakatifu:
Mbele yako kuna suala la kuwa msimamizi kwenye kazi nzito kiasi.
Kuna pahala huko uendako utapewa Dhamana au kuaminiwa kusimamia Jambo zito kwenye Jamii lenye sura ya kuwa mtawala ama msimamizi.
Unachotakiwa kufanya ni kuomba ndoto yako iwe kweli kabla haijatupwa mbali na vision killers.
Hapa kuna msaada wako zaidi:
247 Prayers Army - Jeshi la Maombi
Maombi ya saa 24 kwa kila siku kwa kila mwaka yanafanyika kwa watu wa Mungu ili kusudi la Mungu liwe imara ndani yao. Karibu ungana nasi.t.me
Sawa mkuuWasiliana na huyu bwana Freedom tommorrow
๐คฃ๐คฃ๐Mbeleni kuna jambo gumu utakabiliana nalo. Jipange vzr๐๐
Jokes.
Ukifika kwenye usahishaji naomba uniite nikupe marking scheme๐๐๐
Asante madam๐Mwalimu, karama hiyo siyo lazima ufundishe shule, ila una kitu cha kuelimisha jamii au familia.
Hesabu yaani namba kitu ambacho huwa kigumu na wengi hawapendi hesabu.
Iatamie ndoto kwa maombi, hata kama haitakuwa kwako iwe kwa mmoja wapo wa kizazi chako.
Waambie hicho unachokijua ukiacha na yakaja mabaya kitakugharimu.
Sijui zaidi