Naomba kusaidiwa wimbo wa Komba

Naomba kusaidiwa wimbo wa Komba

Haludzedzele

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,477
Reaction score
534
Samahanini jamani wanajamvi wa jf naombeeni msaada kwa yeyote mwenye wimbo wa Captain John Komba-Mgeni anisaidie kwani nshatafuta kila pande nmeshindwa! Msaada wenu pliz iwe audio ata video sawa tu!
 
Mgeni kwetu ameingia.....mgeni.....mgeni mgeni ameingia.

Mgeni ni UKIMWI
 
Unatafutia wapi hizo nyimbo za Komba? Kama upo dar nenda radio uhuru pale maana ile ni ya chama cha Komba utakuta kila kitu pale.
 
mgeni ameingia chumbani, chumbani kwa baba na mama
mgeni mgeniiiiiii, mgeni huyu Balaa
presha inapanda presha inashuka!
 
Ningekusaidia ila Wenyewe wanakataza...

Kila anayepita Kwaheri... Nenda TBC Mkuu Nyimbo ni Biashara na si msaada.... Kanunue wanauza....
 
Ningekusaidia ila Wenyewe wanakataza...

Kila anayepita Kwaheri... Nenda TBC Mkuu Nyimbo ni Biashara na si msaada.... Kanunue wanauza....

sahihi nami nalifaham hilo means nmetafuta hadi madukan nmekosa basi nielekeze wanapouza!
 
Unatafutia wapi hizo nyimbo za Komba? Kama upo dar nenda radio uhuru pale maana ile ni ya chama cha Komba utakuta kila kitu pale.

sawa umesomeka mkuu ntaenda uko kwani nipo apa apa dar! Thx alot
 
subiri msiba wa viongozi lazima atakuwepo na ataupiga. ila we unautaka wa nini? au umepata mgeni nyumbani kwako nini?
 
yann mm nimegoogle kila kona bila kuupata mbaya zaidi nikautafuta hadi kwa Ze Komedy.. HOLA sijaupata mpaka muda huu
 
yann mm nimegoogle kila kona bila kuupata mbaya zaidi nikautafuta hadi kwa Ze Komedy.. HOLA sijaupata mpaka muda huu

mkuu yaani kila sehem lkn hakuna. inawezekana komba haku upload mtandaoni
 
Huu wimbo wa MGENI hata mimi nautafuta... Mpaka sasa bila bila.
 
Back
Top Bottom