Jitahidi kusali Kwa Imani Kama ni mkristu jitahidi kwenda kanisani .Habari za usiku huu wakubwa.
Aisee mpaka naamua kuandika uzi usiku huu ni kwamba mambo yamenifika shingoni.
Nina kipindi cha kama wiki mbili au tatu mfululizo kila nikilala naota ndoto nikipambana either na mnyama mkubwa(tembo, nyati au simba), binadamu mmoja mwenye weledi wa juu kabisa, watu wengi(sio chini ya wanne na hawazidi kumi), mbaya zaidi hapa nilipoamka kuandika uzi huu nimeota nipo msibani ila marehem kaamka na kuanza kunikimbiza akiwa na panga kubwaa mkononi.
Katika scenario zote hizo nimekuwa nikishinda ila kwa mbinde sana. Mwanzo nilichukulia kawaida ila sasa hali inanizidia katika ndoto najikuta napambana mpaka nikiamka nahisi kama nilikuwa napigana kweli.
Naomba mwenye kuelewa ndoto za namna hii zina maana gani anifumbue macho.
Natanguliza shukrani.
Majukumu bado ujaanza, utakuwa hujaoa, pili familia yenu mupo vizuri au zaid ya hapo ongezea.. Deni muhim bhan26yrs, sina deni boss.
MKUU ndoto zisikupe shida.... mbona mimi naotaga mandoto ya desingh hii unakuta naita napigana hata na watu mia wenye mapanga cha kushangaza na kuwa na nguvu za ajabu na hata wakinipiga panga siumii na kila kinachokuwa mbele yangu ni silaha haafu na kuwa ha uwezo mkubwa kama kukimbia nakimbia kwa kasi sana hta juu ya miti yaani kasi haswa au naweza nikajigeuza na kuwa na umbo dogo sana amabao hao wanaonitafuta wanashindwa kuniona au naweza nikapotea sehemu moja na kujitokeza sehemu nyingine ninayotaka au kuota mazombi sijui napigana nayo kinyama kwangu mimi nimejifunza kuconrol ndoto zangu au kujifunza kitu kipya cha kufanya na ndoto kwangu mimi ni sehemu natumiaga kuwa kama sehemu ya kufanya mambo amabayo siwezi kufanya kwenye ulimwengu huu mfano kua style flani ya kucheza ya michael jackosn kwenye smooth criminal anafanya kama anaanguka ila hafiki chini sasa kataika huu ulimwengu wa kawaida siwez na hakuna mtu anaweza kama asiposhikiliwa au kufungwa kamba ila kwenye ndoto huwa nafanya.... kwa mimi ndoto huwa sizichuliii kama ni mambo yanaweza kutokea kwenye maisha ya kawaida maana ..kwangu mimi ndoto ni raha yaani ni ulimwengu ninao ukocontrol na wakati na hua najua kwamba hapa naota ndo maana naweza kuanzisha varangati hata na maaskari najua siwezi kufungwa maan ni ndotoni au kama naona ndoto ni mbaya huwa naamka sio kushtuka yaani naamka mwenyewe kwa kujua sasa naiamke ushauri jifunze kukocntrol ndoto zakoHabari za usiku huu wakubwa.
Aisee mpaka naamua kuandika uzi usiku huu ni kwamba mambo yamenifika shingoni.
Nina kipindi cha kama wiki mbili au tatu mfululizo kila nikilala naota ndoto nikipambana either na mnyama mkubwa(tembo, nyati au simba), binadamu mmoja mwenye weledi wa juu kabisa, watu wengi(sio chini ya wanne na hawazidi kumi), mbaya zaidi hapa nilipoamka kuandika uzi huu nimeota nipo msibani ila marehem kaamka na kuanza kunikimbiza akiwa na panga kubwaa mkononi.
Katika scenario zote hizo nimekuwa nikishinda ila kwa mbinde sana. Mwanzo nilichukulia kawaida ila sasa hali inanizidia katika ndoto najikuta napambana mpaka nikiamka nahisi kama nilikuwa napigana kweli.
Naomba mwenye kuelewa ndoto za namna hii zina maana gani anifumbue macho.
Natanguliza shukrani.
Kama hutumii ugali mkuu embu punguza Milo isiyo ya lazma usiku jaribu kutumia hata (MTUNDA)Ugali ni chakula ambacho hata mchana situmii mkuu nina mwaka karibu wa tatu.
Ulichokiandika ni ukweli mtupu kuhusu ndoto, yani unakuwa na uwezo wa ajabu kuliko kawaida.MKUU ndoto zisikupe shida.... mbona mimi naotaga mandoto ya desingh hii unakuta naita napigana hata na watu mia wenye mapanga cha kushangaza na kuwa na nguvu za ajabu na hata wakinipiga panga siumii na kila kinachokuwa mbele yangu ni silaha haafu na kuwa ha uwezo mkubwa kama kukimbia nakimbia kwa kasi sana hta juu ya miti yaani kasi haswa au naweza nikajigeuza na kuwa na umbo dogo sana amabao hao wanaonitafuta wanashindwa kuniona au naweza nikapotea sehemu moja na kujitokeza sehemu nyingine ninayotaka au kuota mazombi sijui napigana nayo kinyama kwangu mimi nimejifunza kuconrol ndoto zangu au kujifunza kitu kipya cha kufanya na ndoto kwangu mimi ni sehemu natumiaga kuwa kama sehemu ya kufanya mambo amabayo siwezi kufanya kwenye ulimwengu huu mfano kua style flani ya kucheza ya michael jackosn kwenye smooth criminal anafanya kama anaanguka ila hafiki chini sasa kataika huu ulimwengu wa kawaida siwez na hakuna mtu anaweza kama asiposhikiliwa au kufungwa kamba ila kwenye ndoto huwa nafanya.... kwa mimi ndoto huwa sizichuliii kama ni mambo yanaweza kutokea kwenye maisha ya kawaida maana ..kwangu mimi ndoto ni raha yaani ni ulimwengu ninao ukocontrol na wakati na hua najua kwamba hapa naota ndo maana naweza kuanzisha varangati hata na maaskari najua siwezi kufungwa maan ni ndotoni au kama naona ndoto ni mbaya huwa naamka sio kushtuka yaani naamka mwenyewe kwa kujua sasa naiamke ushauri jifunze kukocntrol ndoto zako
Mkuu kwamba Wewe siku zote miaka yote huwa unaota aina moja tu ya ndoto yaani lucid dreams na hujawahi kuota aina nyingine za ndotoMKUU ndoto zisikupe shida.... mbona mimi naotaga mandoto ya desingh hii unakuta naita napigana hata na watu mia wenye mapanga cha kushangaza na kuwa na nguvu za ajabu na hata wakinipiga panga siumii na kila kinachokuwa mbele yangu ni silaha haafu na kuwa ha uwezo mkubwa kama kukimbia nakimbia kwa kasi sana hta juu ya miti yaani kasi haswa au naweza nikajigeuza na kuwa na umbo dogo sana amabao hao wanaonitafuta wanashindwa kuniona au naweza nikapotea sehemu moja na kujitokeza sehemu nyingine ninayotaka au kuota mazombi sijui napigana nayo kinyama kwangu mimi nimejifunza kuconrol ndoto zangu au kujifunza kitu kipya cha kufanya na ndoto kwangu mimi ni sehemu natumiaga kuwa kama sehemu ya kufanya mambo amabayo siwezi kufanya kwenye ulimwengu huu mfano kua style flani ya kucheza ya michael jackosn kwenye smooth criminal anafanya kama anaanguka ila hafiki chini sasa kataika huu ulimwengu wa kawaida siwez na hakuna mtu anaweza kama asiposhikiliwa au kufungwa kamba ila kwenye ndoto huwa nafanya.... kwa mimi ndoto huwa sizichuliii kama ni mambo yanaweza kutokea kwenye maisha ya kawaida maana ..kwangu mimi ndoto ni raha yaani ni ulimwengu ninao ukocontrol na wakati na hua najua kwamba hapa naota ndo maana naweza kuanzisha varangati hata na maaskari najua siwezi kufungwa maan ni ndotoni au kama naona ndoto ni mbaya huwa naamka sio kushtuka yaani naamka mwenyewe kwa kujua sasa naiamke ushauri jifunze kukocntrol ndoto zako
kweli mkuu unaweza kuwa mmoja kati y awatu wachache duniani tunaoweza kuafanya lucid dreaming mkuu wewe jifunze kufanya chochote kie kwenye ndoti na kinatokeaUlichokiandika ni ukweli mtupu kuhusu ndoto, yani unakuwa na uwezo wa ajabu kuliko kawaida.
Why ahame?Jaribu kuhama hapo..
Jaribu hata kulala lodge au nyumba ingine kwa siku tatu
Ukiona huoti hizo ndoto..shida iko na hiyo nyumba..fanya uhame
Yani kuna wakati nikiwa napambana najisemea kimoyomoyo na yanatokea(mfano naweza kufanya flying kick ambayo kwa kawaida siwezi kufanya nje ya ndoto), naweza kupigana kwa style mbalimbali kama kwenye movies.kweli mkuu unaweza kuwa mmoja kati y awatu wachache duniani tunaoweza kuafanya lucid dreaming mkuu wewe jifunze kufanya chochote kie kwenye ndoti na kinatokea