martini enock JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 635 Reaction score 274 Jan 6, 2017 #1 Wana JF naomba kusaidiwa Nina king,amzi cha Mediacom model mft 910 Nataka kutumia kwenye dish LA azam Hivi naweza kupata signal hatimae kuonesha TV? Mwenye uelewa kwa hili anijuze Maana nyumba ya kupanga imenichosha Natanguliza shukrani.
Wana JF naomba kusaidiwa Nina king,amzi cha Mediacom model mft 910 Nataka kutumia kwenye dish LA azam Hivi naweza kupata signal hatimae kuonesha TV? Mwenye uelewa kwa hili anijuze Maana nyumba ya kupanga imenichosha Natanguliza shukrani.