Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 82,731
- 96,338
Kazi kweli
Weka picha ya hyo miundombinu.tunajua serikali yenu haina hela.lakini si kuchukua hela za rambi rambi.Walichokipata kimetosha. Mda aa miundombinu umefika.
Tutaandamana humu humu,na pesa watarudisha.Organize maandamano kuelekea ofisi ya waziri mkuu nitakuunga mkono, maana ni haki yako.
Mkuu naomba ufafanuz wa ayo makato pliz.Una uhakika 12500 ilifika?maana hela iliyopokelewa n bil 5.7 ambayo n saw a na hela waliotoa ubaloz was british bil 6 baada ya kutolewa na kukatwa makato zmefika bill 5.7
Na was was hela yako haikufika
Hilo dege linawasaidia nini washomile wa bukoba??Mmeambiwa kuna ndege mpya iko inatengenezwa pia
Hii ya kwako itasaidia garama za mihamala Wakati tunarudishiwa.mi nilitoa buku2 pia inaniuma
Kiazi kinaliwa Na sifuri je? Mfyuuyuyyuwewe ni kiazi,umesoma post yote au umeishia kwenye elf 12?
Tulisha acha kuangalia ayo matbc tunaona sikuiz wametufata clauds sasa tutaamia BBCHii serikali sikivu ndo kusema imeamua kufanya kazi yake kupitia clouds TV?? TBC imeshindwa kutekeleza wajibu wake? Si waibinafsishe tu??? Au na yenyewe inasubiria kuhamia Dodoma??
Ama kweli hii ni serikali ya matukio!!
TUMA NAMBA ULIYOTUMIA KUTUMA, ILI TUKUREJESHEE PESA YAKO....Salam,
Naomba msaada wa namna ya kurudishiwa hela yangu niliyochanga ili kuwasaidia wahanga wa tetemeko la ardhi bukoba. Hela hiyo nilichanga kwa njia ya simu Kiwango kikiwa 12,500.
Niweke wazi kuwa nilichangia kwa ajili ya kutoa misaada ya kibinadamu kwa wenzetu waliopata madhara kutokana na tetemeko Hilo. Sasa leo hii ninapoambiwa kuwa imekwenda kwenye miundombinu, na Wakati huohuo ninakatwa kodi, je kodi hiyo inafanya kazi gani???
Leo kupitia clouds tv, msemaji wa serikali amesema serikali haikuwahi kuahidi kuwa itawajengea wahanga nyumba. Na ameendelea kwa kusema mengine Mengi tu....
Naomba hela yangu asee, na sichangii tena maafa.
Yule mama wa Haki za Binadamu bado yupo? Kuna haki inanyanyaswa hapa kwenye hii issue ya maafa. Njoo mama usemeseme angalau week moja hivi labda wataona aibu ....
Yule mama wa Haki za Binadamu bado yupo? Kuna haki inanyanyaswa hapa kwenye hii issue ya maafa. Njoo mama usemeseme angalau week moja hivi labda wataona aibu ....
Mkuu, punguza jazba... Tudai haki yetu kwa njia za Amani kwanza.... Hayo mengine yatakuja tu.Huyo msemàji wa serikali mpuuzi na rofa. Atwambie kwanini serikali ilitoa tangazo la kitapeli, kwanini iwe kuchangia waathirika .."waathirika" maana yake ni nini katika lile tangazo? OK, serikali hqikusema kujengea wahanga basi tunaomba turudishiwe pesa yetu make sie tulichanga kuwasaidia "waathirika" ambao maana ya neno hilo inapatikana kwenye kamusi nzuri ya TUKI