Naomba kurogwa

Mimi hapa nilipo nimerogwa Mwenzako Ila hata siwaz Sana cha msingi napumua na Naimani MUNGU ndiye atakayenichukua yeye
 
Fumba macho alafu piga kelele nyiingi bila kupmzika kama dakika mbili piga mateke mavitu yako ya ndani watu wakija kimbia huku unapiga kelele alafu ukirejea utaskia wanasema jamaa chizi huyu utakuwa nimekupa mfano mfupi wa kudata mkuu •
 
Aiise na utarongwa kweli hao watu wapo nanina omba uamini hivyo.
 
Mtu mzito,mshanajr,

naomba huyu bwana awe case study kwetu lol

tuambieni yuko wapi?,anafanya nini? na nani wachawi wake?LOL

kweli mkithibitisha na yeye akakubali,mtapata wafuasi wengi,lol,
Dada Rebecca mi nijuavyo uchawi haufanyi kazi hivyo ni sawa na kumwambia muuaji wa siri akuue hadharani
 
Kalale na. Mke wa mtu unate utakuwa umelogwa tayari
 
Mtu mzito,mshanajr,

naomba huyu bwana awe case study kwetu lol

tuambieni yuko wapi?,anafanya nini? na nani wachawi wake?LOL

kweli mkithibitisha na yeye akakubali,mtapata wafuasi wengi,lol,
Unanifurahisha sana mkuu yaan hata ukilia utaandika lol.....lol
 
Mbona naona umesharogwa tayari. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…