The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,065
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Njoo pm nitumie majina yako halisi matatu na la mama yako ikishindikana siingii jf tena
utanifaa kwa kunipatia utajiri wewe .nilikua natafuta wa kuchukua msukule .nimeulaaa
haha mbuzi kafia kwa muuza supu.nimehangaika sana kupata mtu .maana wote huruma ilikua inaniingiahahahahahahaahhaha mkuu,usifanye akakimbia JF,
Unahitaji kurogwa?Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.
Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.
Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.
Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
haha mbuzi kafia kwa muuza supu.nimehangaika sana kupata mtu .maana wote huruma ilikua inaniingia
Mkuu kwa heshima na taadhima niroge utakavyo, hii ofa iwahi mkuu.utanifaa kwa kunipatia utajiri wewe .nilikua natafuta wa kuchukua msukule .nimeulaaa
Unahitaji kurogwa?
Naomba mambo yafuatayo toka kwako:
Jina la babu yako kizaa baba
Majina yako mawili tu.
Kama unajibu la kienyeji naomba pia jina lako la kienyeji.
Mkuu umenikumbusha kitu, kuna mtu aliwahi kuniambia kwamba mchawi hawezi kukuroga bila kujua jina la mama yako kumbe ina ukwel ndani yake?Njoo pm nitumie majina yako halisi matatu na la mama yako ikishindikana siingii jf tena
Acha kusema hivyo hayajakukuta ya dunia
Chezea babu ww
Naitwa John Nyambega Maki.Unahitaji kurogwa?
Naomba mambo yafuatayo toka kwako:
Jina la babu yako kizaa baba
Majina yako mawili tu.
Kama unajibu la kienyeji naomba pia jina lako la kienyeji.
Nyani Ngabu naomba yafuatayo toka kwako:Utasubiri sana! Ni sawa na kusubiri embe chini ya mwarobaini.
Mie mwenyewe hapa nilipo bado nasubiri kurogwa toka nitoe ofa humu ndani kwa yeyote aliye mchawi aniroge na ni miaka sasa ishapita na hamna lolote.
Sasasana utachokipata ni vitisho hewa tu.
Uchawi ni dhana ya kufikirika. Kiuhalisia haupo.
fursa imekuja kipindi kizuri cha sikukuu.jiandae twende mbali tukazitumbue mkuu .hahaaaaaaaa ulikua unasubiri ukamate fursa.lol