Naomba kupewa darasa

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Wapendwa.

Hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa.
 
Wapendwa,hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa?

kwahio ndio umekuja kunisema huku???!!!! sasa mapenzi gani bila kufanya mapenzi...
 
Wapendwa,hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa?

Kitavunda na kijae kutu shauli lako, mpe mwenzio
 
Wapendwa,hivi sisi wabongo mapenzi tunayachukuliaje,kwamba ni just kufanya ngono tu au?maana kuna mtu nimembania,kaninunia hii wiki ya pili sasa?

!
!
inategemea ni mapenzi ya aina gani na ni kati ya nani na nani. Kama ni dada yako kakuchunia kisa hujamkaza kutakuwa na tatizo hapo.
 
Hapa Bongo sasa hivi kuna watu wa mataifa karibu yote ya Duniani. Jaribu kutafuta mpenzi wa mataifa mengine, huenda mapenzi yao yatakuwa hayana kugegedana.
 
Ndio mapenzi yetu sie, ngono inaonekana kama ndio upendo, ndio maana mwanaume anapotongoza huwa anakuwa ameishamvua nguo mwanamke kihisia kwa hiyo anapokubaliwa, wazo lake nikukamilisha kitendo hahahaaa!!!!! Niwaume wachache unaweza date nae akakaa hata miezi mitatu bila kuzungumzia ngono lakini nae inategemea.
  • anaweza akawa hana papara tu.
  • au anamahusiano mengine anamalizia kuaga ili aje kwako.
nicheke mie!
 
Vituko shule za kayumba!!!
TICHA:Ok class,if i say small,you say small,smaller,smallest,
TICHA: small
CLASS: small,smaller,smallest.
TICHA: big
CLASS: big,bigger,biggest.
TICHA(smiled): thats good.
CLASS: thats good,thats gooder,thats goodiest.
TICHA: ok.
CLASS:Ok,okier,okiest.
TICHA: no.
CLASS: no,noer,noest.
TICHA: stop.
CLASS: stop,stopper,stoppest.
TICHA: Yesu wangu.
CLASS:Yesu wangu,Yesu wanger,Yesu wangest.!!!
Cheka polepole..
 
  • Hili lipo kwa wote hata Binti /dada ukiwa nae ktk mahusiano na humjani "msamba", atakutafutia majina ya ajabu. Ooooohhh joka la kimbisa n.k.
 
Mmmh kama kakununia mpotezee mapemaaaa

Atakuwa anataka kitumbua tu huyo hana lolote
 
mkuu mpe tu,mbinguni hamna kugegedana kule ni kuimba tu, huu ndo muda muafaka. usije enda na genye kule!!
 
Hili lipo kwa wote hata Binti /dada ukiwa nae ktk mahusiano na humjani "msamba", atakutafutia majina ya ajabu. Ooooohhh joka la kimbisa n.k.

Mmmh! labda but nyie mmezidi, yaani ni bint akishasema tu yes, basi ni full usumbufu wa kualikana nyumbani. hahahaaaa!! mnachoogopa kuambiwa joka la kibisa????? wacha wasiwasi kama unajua ni mkamilifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…