MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,517
- 39,091
Umewahi kuishi milele ukaona chungu na tamu yake?Hakuna raha kama KUISHI MILELE mkuu! kukojoa ni ubatili mtupu!
Unajua maana ya ubatili mkuu?Umewahi kuishi milele ukaona chungu na tamu yake?
Mimi naona mtu ambaye atakuwa jehanamu kwenye moto wa milele
na mtu ambaye atakuwa mbinguni akisifu na kuabudu maisha yake yote
hawana tofauti.
Washakata jina mpaka anafikiria mambo ya ajabu mchana wote huuKwenye umakamo wa rais na wewe umo au wajumbe washakata jina
Nimecheka kwa kirumi, wamekwisha kata jinaKwenye umakamo wa rais na wewe umo au wajumbe washakata jina
Unakojoa sehemu nzuriHakika hakuna epitome ya furaha kama kuyafikia malengo uliyo jiwekea mwenyewe
Hizi pisi zipo tu,
View attachment 3657256
Haujawahi kupiga pisi kali, ukila pisi kali ndiyo utajua kwanini watu wana honga hela nyingiMwanamke ni mwanamke tu mkuu, awe pisi asiwe pisi kukojoa ni kule kule.
Vingine ni fahari ya macho tu kuangalia
kula chakula kama dawa leo ili usije ukala dawa kama chakula keshoHakuna raha hapa duniani kama kula yaani ule kitu unachokipenda aisee asikwambie mtu raha sana.
Baelezee baelezeeKula mzigo ni raha sana.