Naomba kumfahamu John John Mnyika.


Ni vizuri ukajua historia na uwezo wa kiongozi wako ili uweze kuhukumu maamuzi yake.
Wapiga kura wake ndio waajiri wake , Mwajiri kuijua kuijua CV yake hakuna ubaya.
HAKUNA GHARAMA YOYOTE KUELEZEA UKWELI WA SIFA ANAZOSTAHILI.
 
hoja dhaifu huletwa na mtu dhaifu ,je una jipya zaidi ya hili la mh.john mnyika.
 
Dah....yanapokuja maswali kuhusu watu fulani kwa kweli ndo rangi za wadau huonekana.........yaani kuna watu wakiguswa expect JF kuwa kama fb.......nothing tangible. Mtu kauliza CV ya mtu ...kama ipo iwekwe na wengine pia tumjue maana sasa kuna upepo wa kulazimisha kuwa kuna watu ni vichwa sana kuliko wengine.....may be kweli!!!!!!!!

CV ita tanabaisha kuwa ni kichwa wa kielimu au ni karama na busara kutoka kwa muumba wake..........everyone belongs to one or both of these groups.....yeye yuko wapi?????
 
"Simple minds discuss people while great minds discuss ideas"


CV-------->Ideas------------>Ideology-------------->Party politics = Leadership

As far as he is a leader hili lipo na litaendela kujitokeza...........kama ipo iwekwe ndo kukata mzizi wa fitna
 
hivi kwenye website ya bunge si kuna CV's za kila MP?
 
Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Tanzania 2025!. Na isingekuwa ile nadhiri kuhusu urais na wa/Chagga/Haya/Nyakyusa, then huyu ndio alipaswa awe mgombea wa urais kupitia Chadema!. PM wa 2015 ni Freeman Mbowe but only if...!.
Pasco.
 
Kuna thread itakayokupa picha kamili Remote https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/145463-cv-ya-john-mnyika.html

Mojawapo ya posts ni hii

 
Hakika huyu ndiye mbunge ninaemkubali katika bunge la jamhuri ya muungano Tanzania. Wadau naombeni kumfahamu kwa kina hasa elimu yake.
Sisi wana ubungo hatumtaki hata kumsikia tapeli wa siasa huyo,

2020 ajiandae kupotea

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye Waziri Mkuu wa Tanzania 2025!. Na isingekuwa ile nadhiri kuhusu urais na wa/Chagga/Haya/Nyakyusa, then huyu ndio alipaswa awe mgombea wa urais kupitia Chadema!. PM wa 2015 ni Freeman Mbowe but only if...!.
Pasco.
Hahahah upo bar gani leo uletewe mbenge sio kwa shobo hizi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…