Naomba kumfahamu John John Mnyika.

Naomba kumfahamu John John Mnyika.

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,668
Reaction score
40,277
Hakika huyu ndiye mbunge ninaemkubali katika bunge la jamhuri ya muungano Tanzania. Wadau naombeni kumfahamu kwa kina hasa elimu yake.
 
Je, nasikia kuwa alikuwa Tanzania One
 
hata standard seven na form four alikuwa among best students. ni kichwa
 
hoja ya katiba mpya ilianzia kwake?
Werema anamjua vizuri. "Katiba mpya No! Labda marekebisho". Werema
 
Namfahamu vizuri kijana huyu-baada ya STD VII Alisoma elimu ya kuungaunga yaani QT then form four kama private candidate baadae form 5/6 ila hakupata credit na aliishia hapo na akaamua kuingia ktk siasa.
 
nahisi umepotea njia
 
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua Owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi za kijamii kama UNA, TYVA na pia muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI.

Hiyo kwa kifupi tu. Aligombea ubungo mwaka 2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na umri wa miaka 24.

In short ni mtu mwenye kipaji cha pekee.
 
Asante kaka
form 4 div 1 pts 7 na A(9) out 10 maua sec, A level div 1 pts 3 Tambaza sec then akajiunga chuo (udsm) kamaliza BBA wakati wakiwa udsm na akina zitto na mdee walianzisha mtandao wao ulikuwa unaitwa Tz students netwek prgm(TSNP) ambayo mara ya mwisho m/kiti alikua owawa, mmoja kati ya waanzilishi wa asasi za kijamii kama UNA, TYVA na pia muanzilishi wa n.g.o inaitwa UDI. Hiyo kwa kifupi 2. Aligombea ubungo mwaka 2005 mara 2 alipomaliza chuo na akiwa na umri wa miaka 24. in short ni m2 mwenye kipaji cha pekee.

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/145463-cv-ya-john-mnyika-2.html
 
Namfahamu vizuri kijana huyu-baada ya STD VII Alisoma elimu ya kuungaunga yaani QT then form four kama private candidate baadae form 5/6 ila hakupata credit na aliishia hapo na akaamua kuingia ktk siasa.

Huu ni wivu au nini jamani?

Unachekesha wewe!
 
hoja ya katiba mpya ilianzia kwake?
Werema anamjua vizuri. "Katiba mpya No! Labda marekebisho". Werema

umuongo hoja ya katiba mpya ilianzishwa na cuf na ndio mana waliandamana mwaka 2001 kudai katiba mpya jambo lililosababisha kuuliwa kwa watu wengi. Wakati huo john mnyika hata chuo kikuu hajajiunga na alikua hajulikani ktk siasa kamwe. Soma historia uelewe wacha ushabiki na kurukia mambo usiyoyajua.
 
Kama hujui kaa kmya, nahitaji kumfahamu coz i wish ningekuwa na uwezo kama wake na pia nakubali michango yake bungeni bnafsi ndie mbunge wangu bora ktk bunge hili
Toa wasifu wako kwanza ,unaonekana umetumwa .
 
Back
Top Bottom