Greatest Of All Time = G. O. A. TNini maana ya GOAT mkuu?
Nimelipenda swali hili...japokua nasikia kipindi chao kina Pelle hawkua na sheria ya offside walikua wanatia tu kamba wanavyotaka.Kama huko duniani bado hawajaona kama pelle, mimi na wewe ni nani!
Messi na Maradona only. Pele media zinampamba sana hana lolote
Kama vile ulimshuhudia PELE akicheza