naomba kujuzwa!

nashukuru kwa pm zenu, ndo nipo njian nkifika ntachagua 1 ya sehemu mlizontajia. . . wabheja sana mwanawane!
 
Wewe mPM Asprin atakupa ramani nzima.Ni maeneo ya tegeta basi haya,halafu ni barabarani.

mh. . . tegeta mbna machale ya naniliu yamencheza. msije mkani-ulimboka bure!
 
Last edited by a moderator:

Basi mimi ndio nazidi kuipenda jf! Huo mfugo utashukia ubungo, JKN, Bandarini au Stesheni ya Mwakyembe?
 
Basi mimi ndio nazidi kuipenda jf! Huo mfugo utashukia ubungo, JKN, Bandarini au Stesheni ya Mwakyembe?

sasa huu ni udhalilishaji wa kijinsia. once nkifika naenda TGNP kuwashaki!
 

Mi sio mwanajamvi naruhusiwa kampani?
 
Wakwetu usisahau mabwepande eeh! Pia kusafisha nyota, najua unahitaji iyo kitu.
 
Wakwetu usisahau mabwepande eeh! Pia kusafisha nyota, najua unahitaji iyo kitu.

wee hata sihitaji kusafisha nyota,we huon inavyoong'aa mpk naogopa. Judgement hebu mwambie hyu nahc hanifahamu et. . .
 
Last edited by a moderator:
Dada we utaki kula bata free of charge?
 
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
weeee, nani kakwambia kuwa kuna bure iliyo bure Vodka? vya bure vinaua ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…