Naomba kujuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Oct 27, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Jumapili nilikuwa nasikiliza matangazo ya mpira ya England Premier League kati ya Man City na Man U.Katikati ya matangazo,Charles Hilary akasema; "kwa sasa, tofauti ya masaa kati ya East Africa na London uingereza ni 2 hours lakini kuanzia mwisho wa mwezi huu itabadilika na kuwa 3 hours.

  Swali langu: Ni kwanini kunakuwa na hii variation ya tofauti ya masaa?

  Mimi hufuatilia ratiba za mechi mbali mbali kwa Internet lakini kutokana na variation hii, sometimes huwa nachanganya ratiba.
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Enhee hata mimi natakaga kujua hiyo kitu ngoja tuwasubiri wenyewe watakuja tu
   
 3. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Let us wait!
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo majira yatabadilika rasmi na kuikaribisha winter. Hii hutokea kila jumapili ya mwisho wa mwezi Oktoba na maana yake ni kwamba usiku utakuwa mrefu kuliko mchana.
   
 5. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sorry ni weekend ya mwisho wa mwezi Oktoba.
   
Loading...