Naomba kujuzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Chuck j, Oct 24, 2011.

 1. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Kunamahali nafanya kz,wametangaza nafasi ya kz ya umeneja,mwanzo walikuwa wanapromot,(wanateua tuu wakitaka meneja kwa wafanyakazi waliopo,kigezo kikubwa unamuda mrefu kzn,. Lkn juzi wametangaza mwenye kujua anaweza aandike barua,. Nimekuwa mmoja wa wafanyakazi walioandika kuomba nafasi,2ko kama wanne hv,..ni maswali gani nitaulizwa? Na nijibuje? I think kesho ni siku ya intervew,kz za restaurant,
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  1.Watakuuliza utamchagua nani 2015
  2.Je una mipango gani na nchi yako
  3.Unataka mshahara kiasi gani
  4.Utaifanyia nini kampuni
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hiyo kazi ya kwanza kabla yakuwa promoted ktk imterview walikuuliza nini?
   
 4. Chuck j

  Chuck j JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,973
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Waliniuliza mshahara tu sbb wanajua utendaji wangu wa kz,na nilipata kwa kuagiziwa na owner
   
 5. K

  KALENDA Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Chuck j, Kama mwanzo ulipata nafasi kwa maagizo ya owner basi na hiyo mwambie huyo owner kuwa unaihitaji ataagiza upewe.
  Lakini angalia usipitilize ukaomba upewe nafasi nawe uwe owner.
  Kwa heri.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Wewe unaleta dhihaka hapa!! Kumbe mko wengi mnaoshikwa mikono na kuwekwa kwenye kiti!! Sasa si umwambie tu huyo owner akupe hiyo kazi au uwezo wako ndio umeishia hapo ulipo?
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Ingia google utafute.
   
 8. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  jikaze mwanaume!!!
   
 9. e

  engjaphet Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du kweli binadamu halidhiki inamaanisha kwamba kama wangekufanyia interview usingepita ukabebwa leo unataka kuwa meneja sasa utaweza kweli kuwafanyia wenzio interview?ukiwa kama meneja mwambie owner ukweli kwamba unataka kuwa meneja atakubeba tu kama mara ya kwanza au haziivi tena
   
Loading...