Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

mbwadinho

Senior Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
180
Reaction score
102
Habari zenu wanajamvi ,naomba kuuliza kuhusu utaratibu wa kupandishwa madaraja mbona halmashauri zingine walioajiriwa mwaka 2013 wamepandishwa lkn halmashauri yetu bado kuna nini? N.b Mimi nipo halmashauri ya sengerema
 
Hii kitu inaleta ukakasi wamepandisha mpaka 2014 sehemu zingine, huku 2013 wakisugua benchi, nahisi ni uzembe wa halmashauri husika.
 
Mwageni ugali, pelekeni malalamiko rasmi Tamisemi. Hata humu umewaheshimu sana kwa kuficha hilo jina la halmashauri wakati wao wanawapasua
 
Hii kitu inaleta ukakasi wamepandisha mpaka 2014 sehemu zingine, huku 2013 wakisugua benchi, nahisi ni uzembe wa halmashauri husika.
Hapo sasa sijajua tatizo ni nini
 
Vumilia mkuu kwa taarifa nilizopata ni kuwa km umepeewa barua ya kupanda daraja bx ww subir ongezeko mda wowote Kwan wanasema kila mwez inatolewa bajet ya kila halmashaur kuwapa Ongezeko waliopata barua lkn hadi mwez wa 11 inabd wote waishe Hvyo kila mwez wachache wanapewa ongezeko
 
Sisi hata hiyo barua hatujapewa
 
Back
Top Bottom