Watakuja mkuuIsichukuliwe kama umbea bali ni kutaka tu kufahamu huyu mtu anayeitwa AFANDE CHAMA DOLA ni nani hasa naona huko mitandaoni anavuma sana na Miss Kimambi akiwa kamshikia bango hasa
Just out of curiosity questioning...... [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Ni kweli mkuuItajulikana tu JF ni jungu kubwa?
Ni afande au unataka kujua nini zaidiMbali ya hilo yeye ni nani hapa Tanzania
Ni boss mkuu.Niache kaka ninafrustration zanguMbali ya hilo yeye ni nani hapa Tanzania