UNIQUEMAN1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 378
- 448
Mada tajwa hapo juu yahusika. Nipo hapa DSM . Naomba kama kuna anayejua kiwanda cha kutengeneza hizi sabuni za magadi (mche wa rangi mbili bluu na nyeupe) hapa Dar. Asante
vipi kaka ushapata mimi naweza kusupply kwako kiasi chochote utakachoMada tajwa hapo juu yahusika. Nipo hapa DSM . Naomba kama kuna anayejua kiwanda cha kutengeneza hizi sabuni za magadi (mche wa rangi mbili bluu na nyeupe) hapa Dar. Asante
Sema bei yko na ulipo.vipi kaka ushapata mimi naweza kusupply kwako kiasi chochote utakacho
mimi miche 20 nauza 30000 destinanion dar
Jumlamimi miche 20 nauza 30000 destinanion dar