Naomba kujuzwa utaratibu wa kuwa muongoza watalii hapa Tanzania.

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,129
35,148
Sekta ya utalii ni sekta muhimu hapa Tanzania, nimekutana na watu kadhaa, wengi wakiwa vijana wakifanya hizo shughuli lakini wakiwa hawana utambulisho rasmi wa shughuli zao. Kupitia jukwaa hili ningeomba wenye kujua sekta hiyo wakatupa mwongozo katika suala hili kwa kuzingatia mambo haya...
-Sifa za msingi.
-Mafunzo ya kupitia.
-Gharama za kulipa.
-Mamlaka zinazohusika
-Taratibu zingine za kufuata.
 
Mbona kimya?
Wajuzi wa mambo mpo?
Msaada wenu wa ufafanuzi unahitajika hapa?
 
Google vyuo venye kufundisha maswala ya utalii
Mkuu vyuo vya utalii sio shida, vingi vinafahamika hapa Tanzania, na kusomea huko kwenye hivyo vyuo hakumfanyi mtu kuwa tour guide moja kwa moja hapa Tz. Tour guide ni kazi, na katika pita pita zangu nikagundua mtu yoyote yule anaweza kufanya hiyo kazi regardless ya elimu ya chuoni (Yaani imekaa kama kazi ya umachinga vile), issue yangu hapa ni kutaka kufahamu kama hapa Tz kuna utaratibu rasmi ambao mtu anapaswa kuupitia ili kuwa tour guide.
 
utaratibu upo. na ili ufuzu uwe umepitia kwenye vyuo husika.
 
Back
Top Bottom