Sheria za kufuata unapotaka kumuacha Mke kwa talaka

Kabla ya kwenda mahakamani kaa na mkeo mpange kila kitu kitakuwaje... yaani watoto wataishije; watasomaje, mali mlizochuma pamoja. Mioyo yenu itaponaje vidonda vya mapenzi maana mlipendana na kuzoeana! then nendendeni mkaombe kuachana.
 
Kwanza wewe ni dini gani ? Kama ni mkristi au muislamu mnatakiwa muende kwenye mabaraza ya usuruhishi ya dini then ikishindikana mtaenda baraza la kata ikishindikana utapiwa F.3 utaenda mahakamani utaomba maombi ya talaka Kama ujaelewa ni pm

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza wewe ni dini gani ? Kama ni mkristi au muislamu mnatakiwa muende kwenye mabaraza ya usuruhishi ya dini then ikishindikana mtaenda baraza la kata ikishindikana utapiwa F.3 utaenda mahakamani utaomba maombi ya talaka Kama ujaelewa ni pm

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kuna ulazima wa kwenda kwenda kwenye mabalaza ya kata?
 
Wanawake sometimes wasumbufu, taratibu za talaka zipoje
Nimesoma mstari kwa mstari wa huyu jamaa, kwa maono yangu kuna mawili huenda mke wake anakunywa pombe ama kuna kitu alikifanya au amekifinya kinachomchanganya akili. Huyo mwanamke akili yake haipo sawa, inatakiwa jamaa akirudi likizo akae atulie na kumuita sehemu nzuri ya utulivu ajaribu kuongea nae kwa kumdadisi atagundua tu shida iko wapi huenda ni kwa sababu ya msiba wa Mama yake au kuna mengine nyuma ya pazia
 
Tangu 2011 ndo unatoa talaka sa hivi tulikuonya sana mwanamke ana kazi bado unamtumia 1800000 analalamika haitoshi?tulikwambia umejitwisha gunia la misumari jitue we ukakaza shingo haya sasa pambana
 
Mnajuana? Au wewe ndiyo mke?


Tangu 2011 ndo unatoa talaka sa hivi tulikuonya sana mwanamke ana kazi bado unamtumia 1800000 analalamika haitoshi?tulikwambia umejitwisha gunia la misumari jitue we ukakaza shingo haya sasa pambana
 
😂😂😂😂😂😂 hapana aisee ilishawahi kutokea mume kuja kulalama humu kuhusu ndoa yake bila kujua kama mke naye ni member. Mke akajibu mapigo basi wakaanza kujibizana vibaya hadi wakaombwa mambo yao wakazungumze faragha badala ya kuyaweka hadharani. Inaelekea unawafahamu wahusika na muanzisha uzi baada ya kukusoma sijui kama atarudi.

Aaaash,Mkuu unapenda ubuyuu
 
hapana aisee ilishawahi kutokea mume kuja kulalama humu kuhusu ndoa yake bila kujua kama mke naye ni member. Mke akajibu mapigo basi wakaanza kujibizana vibaya hadi wakaombwa mambo yao wakazungumze faragha badala ya kuyaweka hadharani. Inaelekea unawafahamu wahusika na muanzisha uzi baada ya kukusoma sijui kama atarudi.
Hamna bwana simfahamu hata
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bwana weee!!! yoote hayo ya nini?? sijui mahakamani, mara polisi mweee? mnawaendekeza sana hao wake zenu!! wewe anza kivyako km ana muua mwanae ataozea jela yeye!!


navoona hapo weye una udhaifu mkubwa na kubabaikia papuchi hiyo!!! sana si ajabu umesha lishwa vya kulishwa!! nakwambia ningekuwa mie mbona angenikimbia mwenyewe???

Tena mbaya zaidi goal keeper!! akutishe weye msomi na kazi juu??? hivi mnasomeaga nini huko??? wanawake wooote hao vyuoni na kazini ulikopitia?? mpaka vidume wanatongozwa wanalipiwa karo na wadada wenye hela!!

wanaendesha magari ya wadada!! weye bado unamuwaza goal keeper tena jobless!!!! au unasura kama REmmy!! hata Remmy drs la tatu!! mwenzio alipata chombo safi kikazalia watoto poa sana na mpaka kimemzika juzijuzi tu hapa!! wewe je?.... bado unalia na goal keeper????

acha utani bana!!......km ni kweli basi unastahili hayo tena akupige na makofi make weye ni mjinga!!.....demu yuko sahihi huyo....haya mambo zako km ungekuwa na akili ungenyamaza kimyaaaaa!!

Kidume kabisa nitukanweee!! na Elimu yangu na kazi yanguuuu maweee!! na mtoto juuu!! hata km anagongwa!!! hainitii homa akagongwe salama!! ufilwenyambara!!!....atanijua mie ni nani,.... matendo yangu tu yatamtoa machozi nakwambia!

kamwe simpigi ila atalia kila siku za maisha yake!! akinikumbuka! looool leta hela tukupe shule dogo!
 
Back
Top Bottom