Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza Trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya trekta lenyewe na model yake
Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya trekta lenyewe na model yakeView attachment 1482532