Naomba kujuzwa tiba ya minyoo

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Wakuu, kuna dogo hapa anasumbuliwa na minyoo yaana anasema anahisi kuna mdudu anachezacheza kwenye njia ya haja kubwa hata akienda choo bado hali inaendelea/ hatoki.

Binafsi nakumbuka nipo under 10 ages nilisumbuliwa sana na hii kitu na sijui ilipotea vipi maana nilikuwa hata sijari. So huyu dogo imemkuta hii na anakosa raha hapa naomba wajuzi mlitolee ufafanuzi hili.

Asante
 
Wakuu, kuna dogo hapa anasumbuliwa na minyoo yaana anasema anahisi kuna mdudu anachezacheza kwenye njia ya haja kubwa hata akienda choo bado hali inaendelea/hatoki..
achana na mikachumbari unayoweka kwenye viepe vyenye mayai ya kisasa ambayo hayajaiva vyema.

Nenda tu hospitali upewe tiba sahihi...
 
Wakuu, kuna dogo hapa anasumbuliwa na minyoo yaana anasema anahisi kuna mdudu anachezacheza kwenye njia ya haja kubwa hata akienda choo bado hali inaendelea/hatoki...
Kuna dawa za kienyeji zinapatikana milimani Kilimanjaro na Meru; Kilimanjaro wanaita NGESI. Aende wa wauza dawa wa kimasai wampige dozi ya kuharisha na takataka zote hizo zitatoka.

TAHADHARI: Hiyo dawa inachefua
 
Kwahyo kachumbari na mayai ni main source ya hii kitu mkuu..?
hiyo nimeomhea tu kama kuwalilisha vyanzo vingi ikiwemo mohogo mibichi juisi zilizotengenezwa bila kuzingatia udafi ulaji wa barafu kwa watoto n.k

Kuna fozi ya vidonge vya kutafuna sijui jina lake ila kuna mdau kasema dawa ya kusafisha tumbo hapo juu n.k
 
Kiongozi mpeleke dogo hosp, apimwe ijulikane ni minyoo aina gani na apewe dawa sahihi kulingana na majibu ya vipimo.
 
Wakuu, kuna dogo hapa anasumbuliwa na minyoo yaana anasema anahisi kuna mdudu anachezacheza kwenye njia ya haja kubwa hata akienda choo bado hali inaendelea/hatoki..
Pole zake huyo dogo. Pamoja na kumpeleka hospitali akapimwe, kutafuna mbegu za papai mara kwa mara husaidia kuondoa minyoo tumboni. Tafuna mnegu chache tu unapokula papai lililoiva
 
Mtafutie vidonge vinaitwa ALBENDAZOLE 400GM anywe asubuhi kabla ya kulaa kituu chochote akishakunywa akae kama nusu saa ndo ale..!! Hiyo ni minyooo na hii hali hutokea sana usiku ndo huzidishaa muwashoo. Mpe pole dogo
 
Sawa kiongozi
 
Mkuu, dose take inakuwaje..?
Yaan vidonge vingapi kwa Siku na ndani ya mda gani..?
 
Back
Top Bottom