Naomba kujuzwa taratibu za kusajiliwa kuwa mtahiniwa binafsi (Private Candidate)

Dark Light

Member
Jan 6, 2019
8
5
Habari wakuu poleni na majukumu pia hongereni kwa mapunziko ya weekend.

Naomba kufahamu ili mtu asajiliwe kuwa private candidate wa form four au six anatakiwa afuate taratibu zipi na awe na vigezo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa form 4, lazima awe amefanya mtihani wa kidato cha 2 na kufaulu au QT na kufaulu, au awe anarudia mtihani huo.

Kwa kidato cha 6, awe na credit "C" 3 kwenye masomo anayotaka kufanyia mtihani(kama sikosei) Kwa ufafanuzi zaidi, ingia Google tafuta "Necta"

Pia nenda kwenye vituo vya kufanyia mitihani private candidates watakuelekeza.

Usajili wa QT na CSEE bila penati ni 28/2/2020

Maandalizi mema kwa muhusika
 
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom