Naomba kujuzwa taratibu za kufuata ili kuwa na Mwanasheria

Wang Shu

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
2,563
3,708
Wakuu salaam,

Naona hatari ya sheria mbele yangu inanikalibia kutokana na mambo kadhaa ambayo nimeyapitia kazini. Naomba kufahamishwa jinsi gani naweza kuwa na mwanasheria mapema ili kama hali ikitokea niwe na mtetezi haraka iwezekanavyo pale atakaposikia tu nimekamatwa na polisi.

Naomba kuelezwa ,maana nawasikia watu wanasema wana Wanawasheria wao..!
 
Nadhani ni kwenda kwa mwanasheria ambaye unamwamin tu na kuzungumza naye namna bora ya kukulinda..hakuna fomula mkuu
 
1. Kuingia mkataba na ofisi ya sheria, ya kuwa mteja wao kwa muda na mambo mtakayokubaliana, na utalipia gharama huduma hiyo kulingana na ukubwa wa huduma.

2. Kufanya makubaliano na mwanasheria binafsi/mmoja (sio rasmi).

Chagua moja.
 
Back
Top Bottom