Naomba kujuzwa Software mbadala wa MS offices

SHEVCHENKO

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2019
Posts
331
Reaction score
452
Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.

Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.

Mimi nazifahamu kama polaris office, libre office, open office, wps office, free office na ashampoo office.

Ila zote naona bado zina ubabaifu, je wewe unaifahamu ipi ambayo ni free pia ni open office yani hulipii ila inaenjoy kama ms office.

Share basi hata link.
 
Office programs ulizotaja hizo ndio zinaeleweka. Hakuna nyingine ambazo ni bora kuliko hzo. Siku zote cha bure kina mapungufu. Aidha kubaliana na mapungufu au lipia/tafuta keys za ms office.
 
Kama upo serious na kazi zako nunua key hata Used ama share na mtu, unaweza Pata key hata kwa $2 ama 3

Na office za zamani 2010 kushuka si ngumu ku activate, kama huhitaji new features tumia hizo, zipo hadi portable versions.
 
Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.

Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.

Mimi nazifahamu kama polaris office, libre office, open office, wps office, free office na ashampoo office.

Ila zote naona bado zina ubabaifu, je wewe unaifahamu ipi ambayo ni free pia ni open office yani hulipii ila inaenjoy kama ms office.

Share basi hata link.
Tembelea huu uzi
 
Unafanya vitu gani kwenye Word ambavyo huwezi kufanya kwenye Libreoffice?

Mwaka hata sikumbuki wa ngapi sasa nina MS Office lakini huwa siitumii. Ni complicated unnecessarily na iko cluttered. Sioni kwa nini watu hata wanaipenda. Best office ya mwisho kwangu ilikuwa Office XP.
 
Sp far hakuna mbadala wa Ms office package . Microsoft ni monopoly katika category hiyo
 
Unafanya vitu gani kwenye Word ambavyo huwezi kufanya kwenye Libreoffice?

Mwaka hata sikumbuki wa ngapi sasa nina MS Office lakini huwa siitumii. Ni complicated unnecessarily na iko cluttered. Sioni kwa nini watu hata wanaipenda. Best office ya mwisho kwangu ilikuwa Office XP.
libre office nzuri ila haina user interface yan huwezi kubadili appearance ni nyeupe tu, sasa hii freeoffice haina utofaut na ms offices hata kidogo isipokuwa wameanza kunidai product key ndo nimeshangaa wakati ni open office

Vipi hiyo office mx bado inapatikana au
 
Haina UI? 😳

Unaweza kubadili rangi kadri upendavyo
Fuata maelekezo hapo chini na badili rangi za vitu unavyotaka

Back
Top Bottom