Naomba kujuzwa Software mbadala wa MS offices

Naomba kujuzwa Software mbadala wa MS offices

Wakuu, nimekuwa nikisumbuka hasa kupata activation keys mara lincence za ms office versions.

Nahitaji tushirikishane softwares nyingine ambazo ni mbadala ukiachana na MS offices.

Mimi nazifahamu kama polaris office, libre office, open office, wps office, free office na ashampoo office.

Ila zote naona bado zina ubabaifu, je wewe unaifahamu ipi ambayo ni free pia ni open office yani hulipii ila inaenjoy kama ms office.

Share basi hata link.
Libre Office haina upungufu wowote, labda huielewi tu. Under Linux-based os kama Ubuntu ni very performant.
 
Haina UI? 😳

Unaweza kubadili rangi kadri upendavyo
Fuata maelekezo hapo chini na badili rangi za vitu unavyotaka

Kuna mtu aliwahi kunipa hii ilikuwa nyeupe tu haina option ya colours wala dark mode au sijui ilikuwa ya zamani sana, vipi hizo za sasahivi zipo safi au
 
Back
Top Bottom