Naomba kujuzwa Program ya kuzuia mtu asicopy wala ku paste document

Naomba kujuzwa Program ya kuzuia mtu asicopy wala ku paste document

MURUSI

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
4,575
Reaction score
8,911
Wakuu nina kimanual changu nataka kujua naweza vipi kuifanya mtu asiediti? Kwenye Pdf najua mtu anaweza copy na kupaste sasa nataka mtu asiweze kuicopy wala kuipaste ili abadilishe iwe yake.

Msaada kama kuna Program ya kufanya hivyo.
 
Cheki kiambatanisho

20200702_074605.jpg


Capo Dei Capi
 
Kwa kiasi kikubwa inasaidia.

Ila siku hizi kutokana na tech kukua suala la tech kukua pdf hata ufanye nini inaeditika.

Mfano ukiscan, au ukiconvert to scan ikiingia kwenye nitro inapigwa OCR basi inaeditika.

Ukiweka password na restrictions zote, nikiingiza kwa PDF24 , nakaitoa mambo yanakua mswano tu , hizo limit zinaondoka.

Best way ni kutumia tu NITRO Kama ulivyomshauri ila aisitegemee 100% protection, unless iwe ipo na updates za hivi latest kuhusiana na usalama wa docs
 
Mbongo sijui kaandika kipi kigeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu nina kimanual changu nataka kujua naweza vipi kuifanya mtu asiediti? Kwenye Pdf najua mtu anaweza copya na kupaste sasa nataka mtu asiweze kuicopy wala kuipaste ili abadilishe iwe yake.

Msaada kama kuna Program ya kufanya hivyo.
Sheria ya hati miliki ni zaidi ya hayo.
 
Back
Top Bottom