Naomba kujuzwa program nzuri ya kuweza kurudisha driver

Hr01

Member
Jun 15, 2021
35
38
Habari.

Naomba mnisaidie kujua program nzuri ya kuweza kurudisha driver zilizokua missing kwenye computer inayotumia window 10 pro tafadhali.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
nitajie model ya PC yako au weka picha yake ikowa full hiyo PC yako nikupe driver
Hp.View attachment 2111429
IMG_20220207_171033.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
program nzuri ya kuweza kurudisha driver zilizokua missing kwenye computer
  • Tumia Driver-Booster
  • Download Hapa
Code:
https://www.iobit.com/en/driver-booster.php
Fanya activation iwe Pro. Version kwa kuweka hizi key, baada ya kukamilisha installation.
License Code: 7C22A-C0D9D-0D0D2-FFA49
Expiration Date: 03 December, 2022
Scan PC husika na fanya download ya drivers zote.
==
1653496542967.png
 

haya hizo hapo OFFICIAL
download driver unazozitaka
kisha installs offline
au ukiona uelewi
niambie unamiss nini au driver gani nitakudirecty driver husika moja kwa moja
 
Back
Top Bottom