Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Ndani ya wiki hii iliyoishia jana tarehe 17 /07 /2016 Hospital yetu ya taifa ya Muhimbili kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete kilimfanyia upasuaji wa moyo mtoto wa miaka Mitano kwa kumuwekea kifaa kinachojulikana kwa Jina peacemaker ili moyo wa huyu mtoto ufanye kazi kama kawaida. Operation hii ilifanikiwa 100 %.
Maswali ambayo naomba kujibiwa. Je Hicho kifaa kina umbile gani? cha chuma? Na nmesikia kinachaji. je? Chaji ikiisha kinachajiwa?, na kinachajiwaje?, Chaji hiyo hudumu kwa Muda gani na kikiharibika je kinabadilishwa? Mwisho, hakina madhara kwa Muda mrefu?