Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
- Thread starter
-
- #21
Au ile hali ya kuchukia vyakula vya aina fulani wakati alikuwa anavipenda sana
Huwa kuna sindano nenda hospitali binafsi
Naunga mkono hoja yako.
Nime experience hii kwa mke wangu. Aliteseka sana.
Tulihangaika sana, kumbe ilikuwa bure tu.
Hii complication ni mbaya sana. Siipendi.
Duh pole sanaYeye kukicha tu Asubuhi ni Kutapika Nyongo
Usiogope Mkuu wewe mkazanie tu kula, jitahidi sana kile anachopata hamu nacho umpatie kwa wakati.Asee mi huyu kukicha Asubuhi tu anaanza kutapika Nyongo
Yaah tangawizi lakini kuna Vidonge huwa vinaitwa Metoclopramide ni safe kwa mama mjamzito anaweza kutumia though Kutapika husababishwa na mabadiliko ya level za hormones mwilini kwa mwanamke so mwili kuadopt hatatapika tena..
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Usiogope Mkuu wewe mkazanie tu kula, jitahidi sana kile anachopata hamu nacho umpatie kwa wakati...
Usiogope Mkuu wewe mkazanie tu kula, jitahidi sana kile anachopata hamu nacho umpatie kwa wakati...
Mkuu wala usihangaike, hiyo complication wala haitatuliki...achana na hayo madawa wanaokushauri wadau! Unaweza kuharibu mimba ya mkeo hivi hivi.Asante sana ngoja nivifwatilie
Mkuu wala usihangaike, hiyo complication wala haitatuliki...achana na hayo madawa wanaokushauri wadau! Unaweza kuharibu mimba ya mkeo hivi hivi.
Ila hata mimi nilihangaika kama wewe hakuna tulijaribu kila aina ya dawa ila bado iliendelea.
Cha msingi jitahidi kuhandle hiyo hali isilete madhara kwa mkeo.
Hata kama anatapika ale tu.
Tulihangaika bure tu. Hadi Profesa mmoja wa akina Mama alivyonielewesha, nikamuelewa.