Naomba kujuzwa kuhusu mkopo

Naomba kujuzwa kuhusu mkopo

Tanzanian boy

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
46
Reaction score
15
Habari yenu wana jamii forums napenda. kujuzwa kwa yeyote anaejua habari za Mkopo hivi ndo kusema Yale majina elfu 25 yamekamilika?? au kuna batch nyingine? maana nasikia tu yamebaki elfu 3 Mara tayari please mwenye uelewa na hili msaada nisije komaa kusubiri appeal yang au majina hayo elfu 3 kumbe hayapo.
 
Ndugu Hakuna anayefahamu yani ni jambo nyeti sana! Halafu ushaambiwa budget yote ya mkopo imeshatolewa kwa wanafunzi wanaostahili sasa una Po appeal unafikiri Pesa wataitoa wapi kukupa wewe? Danganya toto
 
Bajeti ni wanafunzi 25,717 na majina 25,012 yametoka yamebaki 705 kwa wale watakaokata rufaa na rufaa yao kukubalika.
 
Back
Top Bottom