Naomba kujuzwa kuhusu mapenzi

Hapana mpendwa hapo nadhani unakosea kabisa. hata wewe ndani ya ndoa yako hadi hii leo yapo mambo ambayo kiukweli hukutegemea kama siku moja mr. wako angekufanyia lakini kwa sababu umempenda toka moyoni umeamua kuvumilia na watoto wapo na familia ina furaha. Jaribu kumweleza mdogo wako kuwa sometimes uvumilivu ni muhimu katika mahusiano coz hakuna mtu aliyemkamilifu chini ya hili jua. Kumbuka kuwa shetani alishatuzidi ujanja toka enzi za adam na hawa haya yote yanayotokea leo na hadithi tu za mapokeo na hatuna budi tujifunze na pia tuwe wavumilivu.NB: kuchovya chovya kubaya sana mwisho wa siku tutachovya na visivyo-chovyekwa! plse tuwe makini haya maisha ya duniani ni mafupi sana hasa tusipokuwa makini au tukiona kila king'a acho mbele yetu ni dhahabu.
kuna mambo ya kuvumilia ila mambo mengne ni ya kimakusudi. Ila Mi bado sijahamia airtel saweboy.
 
pole sana mpenzi, huitaji kukosa raha sababu ya mtu. Tatizo unahisi hakuna kama yeye, unahisi yeye ndio kila kitu kwako. Labda unaogopa kuvunja uhusiano kwa sbb flani flani. Ondoa hofu na ufanye hayo maamuzi mazito. Songa mbele, mapenzi hayapo kwa ajili ya kuumizana, kama kipindi chenu cha uzinzi ni mateso na chuki je mkija kuoana itakuwaje?


asante nitajaribu pamoja na kusema nataka sana lakini nashindwa.
 
Ni kweli hilo usemalo lakini sio rahisi ukatokea kumchukia mtu na kutaka kumwaga lakini hamwagiki bila kuwa na kitu fulani kinachosababisha hiyo hali itokee.

Kifupi ni hivi: tambua kuwa huyo mtu kweli yupo au alikuwepo moyoni mwako, na ulimkabidhi moyo wako wote kwa upendo. lakini kutokana na hali usiyoifahamu ukubaini kuwa ana-kasoro fulani na moyo wako ukaanza kumchukia ghafla i.e kuhisi kuwa anakutenda au kucheat some where else au kuwa ana tatizo fulani ambalo hukulitambua before/siku za mwanzo.

Ushauri: Hakuna binadamu aliye mkamilifu hata siku moja. Sisi sote hapa duniani tunapita njia tu. Kama inawezekana ni vema ukatuliza moyo wako, kisha muite kwa ustaarabu kabisa e.g mtoe out, kaa naye sehemu tulivu, then mueleze my dear mwenzio kiukweli nakupenda sana na mengine mengi tu ya moyoni, then mwambie ni kiasi gani unaumia juu yake hasa kwa jinsi akutendeavyo na jinsi wewe moyo wako unavyo-umia.

NB: Ukisema uanze kum-mwaga chini huyu, mara kesho yule, unaweza fikia hatua ya kujaza basi la yutong au Dar express lakini bado hutapata suluhisho la tatizo lako.

Wahenga: wahenga wanasema hivi: Wanaume wote ni kama wamezaliwa baba mmoja na mama mmoja! plse kuwa makini sana my dear.


hapo pekundu sio rahisi nampenda sana lakini sina raha ananiumiza kila siku.
 
Ulichukua time mpaka kumpenda basi jua kuwa itachukua time mpaka kumsahau, najua utapitia muda mgumu sana wa mapinduzi ya mazoea, ila inawezekana,kama unaona huna furaha na unaamua kuwa unataka kumpiga chini, Go Ahead.
 
asante nitajaribu pamoja na kusema nataka sana lakini nashindwa.
my dia kila kitu kinaanzia moyoni,unampenda sana kutoka moyoni lakini pia unaeza kuuacha kama uliwwza kumpenda na kumuacha utaweza,eka nia moyoni jitie nguvu katika utekelezaji kila kitu kinawezekana ukiamua,amua kusonga mbele amua kuacha ayo mahusiano ya mateso na huzuni,amua sasa kabla mda ukiwepo na Mungu atakusaidia.
 
Ni ulimbukeni wa kupenda...huwezi ng'an'ania kumpenda mahala hutakiwi...huo ni ugojwa itakua sio uzima kabisa..
 
Mwili wa binadamu umeumbwa na viungo viwili viwili , mfano macho mawili , mikoni miwili miguu miwili , pua mbili, nk

Sasa vile viungo vilivyokosa mwenza ndio vinachochea hali ya upendo kwamba kiungo kinahitaji mwenzake, mfano moyo ni mmoja hivyo unahitaji mwenzake, ukuni au ku...ma nayo ni moja inahitaji mb...o kama partner wake, mwili mmoja unahitaji mwili mwingine nk
 
Kwa nini tunapenda? unaona kabisa mtu hakufai lakini unashindwa kumuachia.
Ktk mapenzi kama WIVU ungekuwa haupo basi hakuna ambaye ANGEUMIA...au hakuna ambaye angemng'ang'ania MPENZI asiyempenda....tatizo ni WIVU tu ndy unaoumiza....kuona kwamba nikimuacha RAHA HIZI atapewa fulani...ndy unakuta DUME linapewa SIFA ZOTE mara KIBAMIA,,,mara DUME SURUALI lakini yumo tu haachi...
 
Back
Top Bottom