Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Toyota Raize

abaa4all

JF-Expert Member
Mar 5, 2013
313
290
Habar ndugu naomb kujua mwenye ufahamu wa gari hii nataka kuagiza Japan

Toyota Raize cc 1000
BH266532_7487fb.jpeg
 
Duh! hizi gari zingine ukingalia tu unaona ni majanga. Siwahi hata kuiskia, acha kuiona,
 
Kwa uchumi wa kati hapa nikama unaendesha nusu range.

Wamestukia sie wa kati ndo wengi bora watutendee haki
 
hiyo bei inawezekana ikawa sahihi kutokana na mwaka wa gari na km iliyotembea
Inawezekana...kama ndivyo wacha tuyasubiri mpka wayatumie kwanza...kwasababu yametoka kama sio mwaka jana mwishon bhasi mwaka huu 2020

Though bado nawasiwasi na power ya gari ukilinganisha na pesa hitajika!
 
Haha ila ukifanikiwa kulivuta unakua pekee yako barabarani, wakati yanakua yeboyebo wewe ndo unalisogesha fasta
 
Back
Top Bottom