Ability Muhidin
Member
- Mar 31, 2017
- 11
- 2
Naomba kuuliza mishahara ya hao watu wawili ikoje na je ukimalza kusoma ajira kuipata inakuwaje?
Naombeni jibuNaomba kuuliza mishahara ya hao watu wawili ikoje na je ukimalza kusoma ajira kuipata inakuwaje?
CO ana diploma wakati pharmacist ana degree hawawezi kufanana labda ulinganishe CO na pharmacy technician (diploma holder )Naomba kuuliza mishahara ya hao watu wawili ikoje na je ukimalza kusoma ajira kuipata inakuwaje?
Sijakuelewa.......... Ingekuwa vzur kama ungenijibu swali languAisee. Hili Taifa linaangamia.
Mkuu subiri wajuvi waje. Mimi hata hivo sijuiSijakuelewa.......... Ingekuwa vzur kama ungenijibu swali langu
Mawazo ya kimasikini kabisa haya,duu.Naomba kujua Kati ya hao watu wawili mishahara yao ikoje na je ukimalza kusoma ajira kuipata inakuwaje?!
There is nothing like self employment if there is no capital so farMawazo ya kimasikini kabisa haya,duu.
Worry not I have understood you brethren and thank you for your adviceBut I advice you, find the past thread in Jamiiforum by using google search. Because in jamiiforum has the many similar threads like your.
N.b: Sory for me by using this language, because I am in practicing, haha!
Nakuonaaaa....[emoji1] [emoji122]But I advice you, find the past thread in Jamiiforum by using google search. Because in jamiiforum has the many similar threads like your.
N.b: Sory for me by using this language, because I am in practicing, haha!
Hahaha! Kwani unanijua?Nakuonaaaa....[emoji1] [emoji122]
Hahahaaa asante kakawenzako wanaenda kuajiriwa kenya mkuu hapa tanzania sekta ya afya imejaa japo dokta mmoja anahudumia watu elfu 12 ila miaka iliopita ilikuwa ajira moja kwa moja nakushauri Phamarcy katika level ye diploma na cheti mzuri saaana maana maduka ya dawa kila siku wanafungua
No I mean wote wakiwa na diplomaCO ana diploma wakati pharmacist ana degree hawawezi kufanana labda ulinganishe CO na pharmacy technician (diploma holder )
No I mean wote wakiwa na diploma
OK and wote wakiwa na diploma mshahara unarange hadi shingap1😛harmacist ni mwenye degree ya kwanza ya Pharmacy,mwenye diploma anaitwa pharmaceutical technician
2:Kazi hakuna ,labda private sectors
3:Serikalini,diploma wote kwa afya wanalingana mshahara