Naomba kujuzwa kuhusu aina mpya ya POP

Naomba kujuzwa kuhusu aina mpya ya POP

crome20

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2010
Posts
1,247
Reaction score
888
Kama kuna mwenye kuelewa kuhusu matumizi, faida, gharama za aina mpya za P.O.P wanasema ni za fibre glass na nyepesi.

Je unaweza kuitumia zaidi ya mara moja baada ya kuifungua/kuitoa? Gharama za kufunga na kununua zikoze? Msaada please maana hii POP niliyofungwa aka "Mhogo" ni kama kilo 3 yaani inanichosha balaa.
 
Back
Top Bottom