Ashangedere
Senior Member
- Aug 9, 2010
- 119
- 31
Ashadii ahsante umeniongelea mimi, once nikiamua kuolewa nimeamua, sababu hata nikimwona hanifai wakati mwanzo alinifaa na mwingine pia nitaona hivohivo, tena huyo wa pili na kuendelea itakuwa rahisi sana coz kama niliweza mara a kwanza kuacha huko kwengine ni cha mtoto tu..kwa kweli tuvumiliane tu kwenye mahusiano, labda ndio ukutane na mtu kama mtoa mada kaamua kukuacha huna jinsiAshangedere… Umeongea kwa emotions saana thou umetumia J-Lo kama kivuli… Kuachana hakupendezi kabisa.. na tatizo sio kuachana katika jamii ya leo hii…. Tatizo limekua ufinyu wa ustahimilivu wa wanandoa na kukosa simile… maamuzi ya kuachana yako mdomoni badala ya tumboni… yakiwa tumboni inakua bora saana for mpaka ya tumboni yafike mdomoni… kazi ipo…
Kumekua ushindani mkubwa saana kati ya spouses… mke anataka kujiona yeye ndio yeye… mume nae hivo hivo… competition katika kila kitu… kila jambo … matendo na maamuzi pia, ndio maana lawama hizo zinakuwepo… Watu wanajidanganya saana kwa kufikiri kua akianachana na alo nae basi atapata bora zaidi… Sio kweli… wanadamu wooote wafanana.. in the sense wooote sio perfect na kuishi na kila mmoja inabidi u – compromise… However kuna mambo hayavumiliki ambapo kuachana kwa kweli is the only solution….
Ashadii ahsante umeniongelea mimi, once nikiamua kuolewa nimeamua, sababu hata nikimwona hanifai wakati mwanzo alinifaa na mwingine pia nitaona hivohivo, tena huyo wa pili na kuendelea itakuwa rahisi sana coz kama niliweza mara a kwanza kuacha huko kwengine ni cha mtoto tu..kwa kweli tuvumiliane tu kwenye mahusiano, labda ndio ukutane na mtu kama mtoa mada kaamua kukuacha huna jinsi
Kwa kweli namini hivo kwa sasa mpaka further notice, maana nisiongelee saaaana wakati sijui hata inakuwaje kuishi na mtu maisha yote milele, lakini kwa mimi nikishaamua nitakuwa nimemaliza yooote labda tu aniache au awe anapiga sana hapo nahisi ndio pagumuWewe kama mwanamke ukiongea hivo... na ukiamini hivo basi nakwambia chances za ndoa yako kudumu ni kubwa saana.... For ina maana kama una kisomo, kazi ya maana, wadhifa wowote... vyoote utavivulia mlangoni ukirudi nyumbani kwako na mumeo.... Mengine yanakua ni mepesi - kikubwa kuheshimiana.... Na mimi hua naamini saana kua mwanamke ajishushe walau kiduchu (sio mpaka ampande... NO! ila tu kujenga heshima kua ni mumeo)
kwa upande wangu mimi,nitavumilia mara ya kwanza na ya pili,ya 3 siwezi kuvumilia,maisha ni mafupi jamani.naelewa hakuna anependa kuacha au kuachwa,katika maisha niliyokulia nimejifunza ni ku work hard na usiwe tegemezi kwa mtu,anaeamua kuvumilia simlaumu na anaeamua kusonga mbele simlaumu.kwani naamini kabla ya maamuzi,unafikiria kwa undani zaidi.
ni kweli kwa uliyosema asha diiKisukari... sijui kama nakosea... but kama ukitumia neno kuvumilia... ina maana huyo mtu hamuishi nae vizuri, na hata hivo kuna mambo ya kuvumilia na kutovumilika hata mara moja yaaani inakubidi hapo hapo ufunge virago hata kama usiku wa manane....
Asante sana you said it hatuna uvumilivu kitu kidogo watu wanakimbilia kuachana pia tatizo jingine ni kila mtu kujiona ana maamuzi zaidi juu ya mwenzakeAshangedere… Umeongea kwa emotions saana thou umetumia J-Lo kama kivuli… Kuachana hakupendezi kabisa.. na tatizo sio kuachana katika jamii ya leo hii…. Tatizo limekua ufinyu wa ustahimilivu wa wanandoa na kukosa simile… maamuzi ya kuachana yako mdomoni badala ya tumboni… yakiwa tumboni inakua bora saana for mpaka ya tumboni yafike mdomoni… kazi ipo…
Kumekua ushindani mkubwa saana kati ya spouses… mke anataka kujiona yeye ndio yeye… mume nae hivo hivo… competition katika kila kitu… kila jambo … matendo na maamuzi pia, ndio maana lawama hizo zinakuwepo… Watu wanajidanganya saana kwa kufikiri kua akianachana na alo nae basi atapata bora zaidi… Sio kweli… wanadamu wooote wafanana.. in the sense wooote sio perfect na kuishi na kila mmoja inabidi u – compromise… However kuna mambo hayavumiliki ambapo kuachana kwa kweli is the only solution….
Asante sana you said it hatuna uvumilivu kitu kidogo watu wanakimbilia kuachana pia tatizo jingine ni kila mtu kujiona ana maamuzi zaidi juu ya mwenzake
Ila kuna yale ambayo kuyavumilia ni ngumu sana kama vile kupigwaHii unifanya nikumbuke ile topic ya 60/50... For a marriage to SURVIVE.... I wish i could remember that great Topic....