Mu hali gani ndugu zangu humu JF?
Ninaomba kujuzwa vitu vifuatavyo;
1. Kwa anejua ada ya KCMC katika kozi ya diploma ya nursing na optometry
2. Vyuo vinavyotoa kozi ya diagnostic radiography kwa kazi ya diploma
3.Kuhusu udaktari wa macho ngazi ya diploma maana naona kuna optometry na naona pia ophthalmology sasa hapa sielewi kidogo
Natanguliza shukrani kwenu ndugu zangu wana JF