Asante sana mkuu kwa kunijuzaa ubarikiwe sanakama ni hio ninayoiona mkuu hapana huwezi kubadili, huwa hizo zinachomelewa humo humo
Usijaribu hata kupiga Na hotAir yaani ina miguu mingi kama chawa. Labda kama huna kazi na hiyo mobo.Habari za mdaa huu wana Jukwaa hili pendwa.
![]()
Naomba kujuzwa kama hyo graphic card ya hii compture inaweza kutolewa au laa
Chief mkwawa na wengine masaada