Ifumange
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 902
- 1,071
Kiukweli huyu msichana wangu wa kazi anatumia simu vibaya mpaka inakera muda wote ana chati anaongea na simu usiku wa manane kibaya zaidi analala na watoto kwakweli nitapata dhambi lakini hapana lazima niiharibu simu yake ila sitaki ajue kama nimeiharibu naombeni tusaidiane