goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,084
- 1,412
Kwa wale waliopata uhamisho au wenye uzoefu hivi inachukua siku ngp toka majina yatangazwe mpaka barua za vibali zifke halmashauri nisije nikakurupuka kesho nikute hewa
takwimu gani,,, hapo sijakuelewaBaada ya siku tatu
Ila mi zamani hii takwimu yangu
Nimefanya kukumbuka enzi za jakaya mkuu but sasa anko magu sijui itachukua masiku mangapi.takwimu gani,,, hapo sijakuelewa